Skip to main content

Imaam Al-Albaaniy: Nasiha Kuendelea Na Da’wah Na Kujitenga Na Siasa

Nasiha Kuendelea Na Da’wah Na Kujitenga Na Siasa

Imaam Al-Albaaniy  (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah) amesema:

Nasiha yangu ni kwamba muendelee na da’wah na mjitenge na siasa, kwani hiyo ni khayr na yenye kudumu.

[Silsilatul-Hudaa Wan-Nuwr (1/94)]