Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kuvua Hijaab Mbele Ya Baba Wa Kambo Wa Mume Haijuzu

Kuvua Hijaab Mbele Ya Baba Wa Kambo Wa Mume Haijuzu

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

SWALI:

 

Je, mke anaruhusiwa kuvua hijaab mbele ya baba wa kambo wa mumewe?

 

JIBU:

 

Haijuzu mke kujivua hijaab mbele ya baba wa kambo wa mumewe kwa sababu yeye si baba mwenye uhusiano wa damu na mumewe, kwa hiyo yeye (baba wa kambo) si mahram wake.

 

[Al-I’laam Al-Mu’asswariyn bi-Fataawaa Ibn ‘Uthaymiyn (Uk. 182)

 

 

 

Share