Imaam Ibn Hajar: Hajj: Sababu Za Utukufu Wa Masiku Kumi Ya Dhul-Hijjah

 

 

Sababu Za Utukufu Wa Masiku Kumi Ya Dhul-Hijjah

 

Ibn Hajar (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Amesema Ibn Hajar (Rahimahu Allalah)

 

Iliyodhihirika kuhusu ubora wa masiku kumi, ni vile kujumuika ‘ibaadah kuu zote nazo ni Swalaah,  Swiyaam, Swadaqah, Hajj na hazipatikani hizi katika masiku mengineyo.

 

[Fat-hul-Baariy (2/460)]

 

 

 

Share