Imaam Ibn Kathiyr: Kama Bid’ah Ni Khayr Wangetutangulia Maswahaba

 

Kama Bid’ah Ni Khayr Wangetutangulia Maswahaba

Imaam Ibn Kathiyr (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

Imaam Ibn Kathiyr (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Ahlus-Sunnah Wal Jamaa’ah wanasema ni bi’dah kwa kila kitendo au kauli ambayo haikuthibiti kutoka kwa Maswahaba, kwa sababu ingelikuwa ni khayr wangetutangulia kwazo, kwani wao hawakuacha miongoni mwa ya khayr isipokuwa wamefanya himma kutekeleza.”

 

 

[Tafsiyr Ibn Kathiyr (7/278-279)]

 

Share