Imaam Ibn Taymiyyah: Kuwaiga Makafiri Katika Sherehe Zao Ni Kufurahia Iymaan Na Matendo Yao

 

 

Kuwaiga Makafiri Katika Sherehe Zao Ni Kufurahia Iymaan Na Matendo Yao

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

  

 Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Kuwaiga katika baadhi ya sherehe zao inamaanisha kwamba mtu amefurahia imani zao za uongo na vitendo vyao, na anawapa matumaini kwamba wanaweza kuwa na nafasi ya kuwanyanyasa na kuwapeleka ovyo wanyonge.”  

 

[Iqtidhwaa As-Swiraatw Al-Mustaqiym: Mukhaalifat Aswhaab Al-Jahiym]

 

 

 

 

 

Share