Imaam Ibn Taymiyyah: Anayepinga Nuru Ya Sunnah, Atatumbukia Katika Viza Vya Bid’ah

 

Anayepinga Nuru Ya Sunnah, Atatumbukia Katika Viza Vya Bid’ah

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Anayepinga Nuru Ya Sunnah ambayo Ameituma Allaah kwa Rasuli Wake, basi atatumbukia katika viza vya Bid’ah; viza vilivyopandiana.”

 

 

[Minhaaju As-Sunnati An-Nabawiyyah, mj. 6, uk. 443]

 

 

Share