Imaam Ibn Taymiyyah: Bid’ah Ya Kwanza Ya Khawaarij Ni Ufahamu Wao Mbaya Wa Qur-aan

 

Bid’ah Ya Kwanza Ya Khawaarij Ni Ufahamu Wao Mbaya Wa Qur-aan

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

Amesema Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah):

 

“Bid’ah ya kwanza kama mfano wa bid'ah ya Khawaarij, si vingine isipokuwa ni kwa sababu ya ufahamu wao mbaya wa kuifahamu Qur-aan.”

 

 

[Majmuw Al-Fataawaa, 13/30-31]

 

 

Share