Skip to main content

Imaam Ibn Al-Qayyim: Tofauti Ya Moyo Wa Mtu Wa Sunnah Na Wa Mtu Wa Bid’ah

Tofauti Ya Moyo Wa Mtu Wa Sunnah Na Wa Mtu Wa Bid’ah

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Mtu wa Sunnah moyo wake uko hai na una nuru.

Ama mtu wa bid’ah moyo wake umekufa na uko kizani.

[Ijtimaa’ Al-Ajuyuwsh Al-Islaamiyyah (2/39)]