Imaam Malik: Wanaotukana Maswahaba Hawana Fungu Katika Uislamu
Wanaotukana Maswahaba Hawana Fungu Katika Uislamu
Imaam Malik bin Anas (Rahimahu-Allaah)
Imaam Malik (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Ambaye anatukana Maswahaba wa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) hana fungu (au amesema hana sehemu) katika Uislamu.”
[Al-Ibaanah Asw-Swughraa, uk. 123)]