Tafuta
Search results
-
Kupokea Child Benefit Inafaa Na Ikiwa Analipa Tax Ya Serikali?
... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... kwamba Alhidaaya inapokea maswali mengi mno, na watendaji wake ni wachache mno. Nasi tunajibu kwa zamu kwani hivyo ndio kumpa kila mtu ...
Alhidaaya - Apr 19 2013 - 10:11am
-
Amemuoa Mkristo Bila Kufuata Sheria Za Kiislamu Hataki Kuingia Katika Uislamu Nini Hukmu Yake Na Watoto Watakaozaa?
... SW ALI : kama mtu atakuwa kaowa mwanamke wa kinasara nakuowa yenyewe sio kwa kiislam ni kwa kupitia marage regester ... vile kama kakataa kuufata uislam anataka kubakia na unasara wake mwanamke kama huyu je inafaa kuendelea kukaanae? Nitashukuru nikipata ...
senior.editor.tamimi - Jul 17 2008 - 3:04pm
-
Anafanya Kazi Ya Ulinzi Hapati Kuswali Je, Anaweza Kuswali Huku Ameketi?
... Swalah SWALI: Kwa uwezo wake ALLAH KARIM natumai mnaendelea vizuri na shughuli za kuwaelimisha waislam. ... kazi katika duka moja la kuuza germstone ikifika muda wa sala ya Adhuhuru naenda kuswali kwa kigezo kuwa natoka kwenda kwenye lunch, ...
senior.editor.tamimi - May 14 2009 - 6:57pm
-
Kampeleka Nchi Za Kigeni Kisha Ameoa Mke Mwengine, Je, Nini Hukmu Yake?
... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... na hadi wa nne. Hata hivyo, Uislamu umekataa dhuluma kwa wake wakati mume anaoa zaidi ya mke mmoja. Ikiwa mume hawezi kufanya uadilifu ...
senior.editor.tamimi - Jul 16 2009 - 5:16pm
-
Mahusiano Ya Uchumba Baina Ya Mwanamme Na Mwanamke
... kutoa sababu kuwa asingeweza fanya dhambi ya kutowatii wazai wake, je maamuzi hayo ni sahihi? Pia nini anatakiwa kufanya huyu binti ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ...
senior.editor.tamimi - Mar 18 2016 - 10:40am
-
Mwaliko Wa Futari Na Mtu Anayedanganya Ili Kupata Pesa Za Matumizi
... LEO NIMEONA NIBORA NIULIZIE KUHUSU SUALA ZIMA LA UHALALI WA IFTAR ZETU TUKIZINGATIA NISIKU CHACHE ZIMEBAKI KUFIKIA MWEZI WETU MTUKUFU WA RAMADHANI. JE INAFAA KWA MUISLAM ANAEISHI NA MUME WAKE WA NDOA AMBAE ANAFANYA KAZI YAMSHAHARA AU YA KIBIASHARA LAKINI ...
senior.editor.tamimi - Oct 17 2015 - 7:22pm
-
Wazazi Hawataki Niolewe Ndoa Ya Pili Na Mume Aliye Mdogo Kwangu
... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... bint Khuwaylid (Radhiya Allaahu 'anha) aliyekuwa mkubwa wake kwa miaka 15. Tunaposoma katika Siyrah tunaona jinsi gani ndoa hiyo ...
Alhidaaya - Apr 24 2008 - 7:51pm
-
Nilihama Nyumba Ya Mume Wangu Nikiwa Na Mimba, Mume Hakunihudumia Hadi Nimezaa, Anataka Nirudi
... Assalam aleikum, mimi ni mwanamke wa miaka 28, niliolewa kwa mda wa miezi mitatu na nusu kisha nikatoka kwa mume ... basi ulikuwa uitishe kikao baina yako wewe, yeye, wazazi wake na wazazi wako (au wawakilishi wenu). Kikao hiko kingejadili hayo ...
senior.editor.tamimi - Mar 12 2009 - 4:47pm
-
Anatokwa Na Upepo Wa Mbele Katika Swalaah Je Unabatilisha Wudhuu?
... ama baada ya maamkizi haya kwanza namshukuru Allah Azza wa Jalla kwa kuniwezesha kuwa hai leo hii na kuweza kuwasiliana nanyi. ... wa mbele kwa wanawake ni jambo ambalo halitengui wudhuu wake. Hivyo ukitokwa na upepo sehemu za mbele basi hakuna tatizo na Swalah yako ...
senior.editor.tamimi - Jan 6 2021 - 9:26am
-
Ikiwa Mume Hajamgusa Mkewe Muda Wa Miezi Mitatu Ina Maana Kuwa Keshamtaliki?
... wabarakatu. nawamba nduguzanguni kwa uwezo wa allah munijibu kwa haraka, na suala langu ni hili kama mume yuko mjini ... wanandoa kwa ajili hiyo inabidi kwa mke ajaribu mbinu za uke wake wa kumchokoza mumewe ili waweze kustarehe. Mke ana haki ya kustareheshwa ...
senior.editor.tamimi - May 14 2010 - 2:07am