Tafuta
Search results
-
Mama Yetu Hataki Kuchukua Urithi Wa Baba Yetu Aliyefariki
... kwa kipindi hicho chote mpaka leo hatujafanya urithi, sisi watoto tumeamua zile mali alizoacha baba yetu tumeamua tuzifanye kama za ... wake, kwa bahati mbaya muda wote tulikuwa hatuna uwezo wa kumpa urithi wake kwa sababu tulikuwa tunataka kupiga thamani ya vitu vyote ...
senior.editor.tamimi - Oct 3 2016 - 7:20am
-
Mume Anazini Nje, Mke Hakukutana Na Mumewe Kindoa Miaka Minane Kwa Khofu Kuwa Atamtia Maradhi, Je, Ndoa Yao Inasihi Bado?
... SWALI: Amani ya Muumba wa Mbingu na Ardhi iwe kwenu! Nimepata kuulizwa na dada mmoja ... kuwa washazaa naye basi hupewa matumizi flani kwa ajili ya watoto. Naye kavumilia tu. Sasa auliza VIPI ...
senior.editor.tamimi - Oct 8 2009 - 11:32pm
-
Nilihama Nyumba Ya Mume Wangu Nikiwa Na Mimba, Mume Hakunihudumia Hadi Nimezaa, Anataka Nirudi
... Assalam aleikum, mimi ni mwanamke wa miaka 28, niliolewa kwa mda wa miezi mitatu na nusu kisha nikatoka kwa mume ... 16. Binti mwenyewe ni wa nje ya ndoa na hakusema yakuwa ana watoto wa nje ya ndoa. Nilipotoka kwake nilikuwa nina mimba mwezi moja. Nimekaa ...
senior.editor.tamimi - Mar 12 2009 - 4:47pm
-
Anaweza Kubadilisha Jina La Baba Wa Mtoto Wake?
... akamfwata kutaka maskizano, bibi akakubali, kwa manufaa ya watoto wawe na maisha ya baba na mama. After a while bibi akawa mzito, ... simu kumjulia hali, wala hajamuona tangu azaliwe, ana umri wa miaka miwili na nusu. hajamtia jicho wala kumuuliza. ...
senior.editor.tamimi - Apr 27 2013 - 10:01pm
-
Wamemwozesha Ndugu Yao Bila Radhi Za Wazazi Kwa Sababu Wanachagua Kabila Na Kijana Aliyeposa Ni Mwenye Dini, Wamefanya Makosa?
... SWALI: A'ALEYKUM WA RAHAMATULLAH. MTOTO WA KAKA WA MUME WANGU, BAADA YA ... MIMI, MUME WANGU AMBAYE NI AMI YA MTOTO WA KIUME PAMOJA NA WATOTO WETU, TUMEAMUA KUWA PAMOJA NAYE KUMWOZESHA. JE TUMEFANYA MAKOSA KIDINI ...
senior.editor.tamimi - Mar 31 2011 - 7:06pm
-
Kuna Du’aa Ya Kumfanya Mume AtoeTalaka Kiwepesi?
... wabarakatu. MIMI NIMEOLEWA NA MUME WANGU HATUNA WATOTO KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU SASA MUME WANGU AMEKUWA JEURI NA WAKATI ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ...
senior.editor.tamimi - Jul 1 2010 - 8:19pm
-
Mume Anataka Kunipa Talaka Kwa Sababu Siwezi Kumlea Mtoto Wa Mke Wake
... wakiki na nina mwingine njiani (alhamdulilah). Niliolewa Mke wa pili ambapo mi na mke wa kwanza Al-hamdullilah tuna elewana vizuri. Ila ... ajuavyo yeye. Alipo anza mchezo mchafu wa kuchezeana na watoto wenzake wakiume, ndio baba yake kamuondoa na kumleta kwangu. Mimi ...
senior.editor.tamimi - Aug 23 2007 - 5:19pm
-
Nimempa Talaka Mke, Ananidai Niuze nyumba Na Shamba Ili Apewe Kiwango Kikubwa Cha Mata'aa (Kitoka Nyumba)
... hakubadilika nikaamua kumuacha, akenda kwa wasimimaizi wa Kiislamu kushtaki wakamua nimpe mutaa nikakubali na yeye akakubali na ... sawasawa, hii ni sahihi au mimi nina kosa? Pia tumezaa watoto wawili na wote ninao mimi. JIBU: Sifa zote ...
Alhidaaya - May 23 2017 - 3:42am
-
Nani Mwenye Haki Ya Mtoto Mke na Mume Wanapoachana
... asalam alekum nataka kujuwa kuhusu mtoto wa kiume kama baba na mama wamewatana na mke ameolewa na mume mwengine na baba ... ni kupatiwa fursa wakati mwengine uwaone na kukaa na mtoto/ watoto ili pia wawe ni wenye kukuzoea na wasiwe ni wenye kukusahau. ...
senior.editor.tamimi - Oct 9 2008 - 4:59pm
-
Mume Anaishi Na rafiki Zake Huja Kwangu kulala Kwangu Anapopenda tu? Ndoa Inasihi?
... kiislam kupitia mtandao huu. Nilinataka kuliza kuhusu wakati wa kuvunjika kwa ndoa. Jee ndoa bado ina sihi Ikiwa mume hakai nyumba mmoja na ... haya. Tatizo linalojitokeza ni watoto kutopatiwa malezi mazuri na kuweza kuchukua na kutekeleza majukumu. ...
senior.editor.tamimi - Dec 20 2007 - 10:29pm