Tafuta
Search results
-
Deni: Kumlipia Mama Aliyefariki Deni La Swawm Ufafanuzi Wake
... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... kwani limo ndani. Kwa ufupi ni kuwa nyinyi kama watoto wa aliyefariki mnatakiwa mumlipie mama yenu zile siku za Ramadhaan ...
Alhidaaya - Jan 7 2021 - 6:33am
-
Mtoto Wao Amelawiti Mtoto Mwengine, Wamfanye Nini?
... ufafanuzi. Nina kijana alipofika umri wa 15yrs nikamuona hana raghba ya masomo ya kiengereza. Nikaamua bila ... wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake ... Na Madrasah kama hizo waalimu wenyewe ndio wanaowafanya watoto kitendo cha liwati. Kwa hiyo ni ...
senior.editor.tamimi - Jan 1 2010 - 12:03am
-
Mama Yangu Hamtaki Mume Wangu Kwa Sababu Alikuwa Mtumishi Wetu
... nikaja kupata mchumba ambae alikuwa ni mfanyakazi wa mama yangu, mama akakataa mimi niolewe na huyo mvulana,upande wa baba ... makubwa katika jamii yetu kwa wazazi kutojali matakwa ya watoto wao hasa mabinti. Mambo ya ukabila, utaifa, rangi na ubaguzi mwengineo ...
Alhidaaya - Jan 4 2008 - 2:40am
-
Wanandoa Waliopeana Talaka Kukutana Mara kwa Mara
... watalaka hawa hufanya mambo kama ambae wako pamoja. Huyu Mke wa sasa amemsihi mumewe basi kama hali iko hivi akaombwa amrudie, lakini husema ... walioachana kisha wakawa wanakutana kwa ajili ya mtoto au watoto na matokeo yake kwa kukosekana mipaka baina yao, wakawa wametumbikia ...
senior.editor.tamimi - Nov 5 2015 - 12:36am
-
Mkwe Mchawi, Mke Si Muaminifu, Nilimpa Talaka Lakini Amekwenda Mahakamani, Nifanyeje?
... hivyo akawa anazidi kuniudhi kwa maneno madogo madogo usafi wa nyumba shida tupu dharau nyingi ninacho agiza akitekelezwi nikimwambia ... Lengo lake aniaribie mali zangu ambazo ni urithi wa watoto ambao nilizaa nae wawili, je nilikosea kumpa talaka? ...
senior.editor.tamimi - May 23 2017 - 3:39am
-
02-Adabu Za Ndoa Katika Sunnah Iliyotakasika: Utangulizi Wa Mtungaji
... yenye faida kwa kuelezea wazi mambo haya katika mnasaba wa harusi ya mtu ambaye ni kipenzi changu. Natumai kuwa itamsaidia yeye na ... ((Na wale wanaosema: Mola wetu! Tupe katika wake zetu na watoto wetu yaburudishayo macho, na Utujaalie tuwe waongozi kwa wachaji ...
Alhidaaya - Jan 30 2018 - 6:40am
-
Alisilimu Kwa Ajili Ya Mume Akaritadi Alipopewa Talaka, Sasa Anataka Kurudi Uislamu Anafaa Kuolewa?
... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... ya mume lakini pindi anapoolewa kubadilika tena au kuwalea watoto watakaopata kwa njia mbaya au kuwaingiza katika Ukristo. Nasaha yetu ni ...
senior.editor.tamimi - Jan 7 2021 - 11:08am
-
Kaka Ameacha Dada Watatu Shaqiqi, Dada Watatu Na Kaka Kwa Baba
... SWALI: assalaam alaykum warahmatullaah wa barakatuh Kaka amefariki ana nyumba moja na fedha taslimu ... swali hilo inaonyesha aliyefariki hakuacha wazazi, mke wala watoto. Ikiwa hivyo ndivyo, basi urithi wa jamaa wa aliyefariki ni kama katika ...
Alhidaaya - Oct 6 2016 - 10:00pm
-
Utumiaji Kondom Kwa Mke Anaedai Kuwa Ni Mgonjwa
... hivyo je huyu mke nimfanye nini kwa vile nimekwisha zaa nae watoto 4. JIBU: ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ...
senior.editor.tamimi - Apr 15 2011 - 12:16am
-
Amedai Talaka, Anasema Sababu Ni Husda Na Shaytwaan
... Nimeowana na mke wangu kwa muda wa miaka kumi, na tuna watoto wawili wadogo. Ghafla mwaka jana alianza kunidai talaka bila ya sababu ...
senior.editor.tamimi - Apr 15 2011 - 12:10am