Tafuta

Search results

  1. 09-Mapenzi Ya Ahlus-Sunnah Juu Ya Ahlul-Bayt: Nani Swahaba Na Nani Mnafiki

    ... neno ‘Swahaba’ maana yake ni Muislamu aliyemuona Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam), akamfuata na kumuamini na ... kwako na kuingia majumbani mwetu na kuanza kuwabusu watoto wetu na kuonana na wake zetu na mali zetu, tunaanza kubadilika hali zetu ...

    baawazir - Jul 22 2025 - 5:15pm

  2. 05-Jihaad: Wajibu Wa Viongozi Wa Jeshi

      Wajibu Wa Viongozi Wa Jeshi   Yafuatayo ni mambo anayowajibika kuwa ... mtu anayependa kutaka ushauri wa Maswahaba wake kupita Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam).” Imam Ahmad na ... ya Allaah na ya wale wanao onewa, wanaume na wanawake na watoto, ambao husema: Mola Mlezi wetu! Tutoe katika mji huu ambao watu wake ni ...

    Alhidaaya - Jul 22 2025 - 5:13pm

  3. Kuchelewa Kugawa Mirathi

    ... kuhusu Mirathi Mtu amefariki na kuacha mke na watoto, na pia amewacha watoto kwa tumbo jengine ambalo mama yao aliachika zamani. Huu sasa unaelekea mwaka wa tatu, wahusika hawa hawajarithishwa mali zao. Na mali zote za aliyefariki ...

    Alhidaaya - Jul 22 2025 - 5:15pm

  4. Kuna Ubaya Gani Mashia Kuwatukuza Maimaam Na Hali Sunni Wanawatukuza Maswahaba, Na Vipi Kuswali Nao?

    ... kwni kuhusu hao mashia ni kuna ubaya gani wao kuwapenda watu wa Nabiy? Kwani sio watu wa mbali na ni wakaribu sana kwa Nabiy wetu ... na wanapenda sna watu wa mtume. Yaani bibi fatma na watoto wake. Sasa mm hapa nilikua nauliza kwani kuna ubaya kuwapenda watu wa ...

    senior.editor.tamimi - Jul 22 2025 - 5:01pm

  5. Maulidi: Historia Yake, Hukmu Na Kauli Za 'Ulamaa

    ... kila mmoja wetu ana mapenzi makuu katika vifua vyetu kwa Mtume wetu mtukufu na kipenzi na ruwaza njema na Imamu wetu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam), pamoja na familia yake na Swahaba zake na wenye ... na kutoa mali za kutunza Misikiti na kusaidia Waislamu watoto mayatima, wajane na mengineo ambayo ni ya msingi na yenye kumpatia ...

    Alhidaaya - Jul 22 2025 - 5:08pm

  6. Muhammad (صلى الله عليه وآله وسلم) Rahmah Kwa Walimwengu

    ... Nguzo Za Al-Ka’abah . 20 Watoto Wa Ismaa’iyl 22 Utawala Wa Makkah . 23 ...

    baawazir - Nov 27 2020 - 9:11am

  7. Kumuita Mtoto Nuur Muhammad Inafaa?

    ... Wabarakatu Shukran sana ndugu zetu wa Al hidaaya mwenyezi mungu awazidishie kila la kheri na afya njema na muzidi ... kifuatacho: Majina Ya Watoto Na Maana Yake Fiqh Ya Kuwaita Majina Watoto ...

    senior.editor.tamimi - Apr 7 2011 - 7:37pm

  8. Ameacha Wake Wawili Watoto Watano Wakiume, Mke Aliyemtaliki Ana Watoto Watatu

    ... SWALI:   Baba yetu amefariki karibu mwezi wa pili sasa na mirathi imepangwa kuzungumzwa baada ya kuisha eda za wake zake wawili. Ameacha watoto watano wakiume (watu wazima wenye familia zao) kutoka mke wa kwanza. Pia ...

    senior.editor.tamimi - Jan 5 2021 - 8:10pm

  9. Amewaandikia Nyumba Watoto Wa Mke Wa Mwisho, Watoto Wa Mke Wa Mwanzo, Wanadai Mirathi Baada Ya Miaka 12

    ... Mzee alikua na wake watatu. Mzee aliwaandikia nyumba watoto wa mke mwisho kwa sababu hawa watoto walikua wadogo na yeye mzee sana. Huu ...

    senior.editor.tamimi - Nov 22 2016 - 10:54pm

  10. Urithi Wa ‘Ami Yetu Unatumiliwa Na Nduguze, Watoto Hawapati Kitu, Je Sisi Tuwalipe Watoto Hao?

    ... miaka 3 nyuma kawacha mali yake nyengine kwa ndugu yake wa kiume, na vyombo vyake kwa ndu yake wa kiume mwengine, pamoja na urithi wa wazee wake hajaupata walipofariki. Na kawaacha watoto 8 na wake wawili. Urithi huo mpaka leo tunawakumbusha hawa wazee waulipe ...

    senior.editor.tamimi - Nov 22 2016 - 10:51pm

Pages