Tafuta
Search results
-
Kuweka Mashine Ya ATM Katika Nyumba Inafaa? Ikizingatiwa Masuala Ya Riba
... HAIFAI KUTOA ENEO LAKO KUPANGISHA BANK INAYOJIHUSISHA NA RIBA, SASA JE KUWEKA MASHINE YA ATM AMBAYO ITAWASAIDIA WAPITA NJIA NA WASAFIRI ... . Tumefahamu kutoka swali lako kuwa umetambua uharamu wa Riba. Hakika ni jambo la kushukuriwa na kupongezwa kwani sio kila Muislamu yumo ...
senior.editor.tamimi - Apr 25 2008 - 2:01am
-
034-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukubwa wa uharamu wa Riba
... الربا 034-Mlango Wa Ukubwa wa uharamu wa Riba Alhidaaya.com قال الله ... ﴿٢٧٥﴾ Wale wanaokula riba hawatosimama (Siku ya Qiyaamah) ila kama anavyosimama yule aliyezugwa na ... Hivyo kwa sababu wao wamesema: Hakika biashara ni kama riba. Na Allaah Amehalalisha biashara na Ameharamisha riba. Na ...
senior.editor.tamimi - Mar 3 2023 - 3:36am
-
Nikipokea Zaidi Ya Nilivyokopesha Itakuwa Ni Riba?
Maswali: Riba-Rushwa SW ALI : Assalam Alaikum; ... kuhusu nyongeza unayopata kwa mdeni wako. Riba kwa kawaida inajulikana na kila mmoja na haina utata wowote. Riba ina maana ya ziada anayopewa mdeni anapolipwa deni lake kwa ...
senior.editor.tamimi - Sep 12 2012 - 6:55pm
-
Kutumia Pesa Za Riba Kulipia Kodi (tax)
... wa aalihi wa sallam) kuhusu uovu wa ribaa: “ Dirhamu ya riba anayokula mtu na huku anajua ni mbaya zaidi kuliko kuzini mara thelathini ... Pia, “ Jiepusheni na maangamivu saba… kula riba ” [Al-Bukhaariy na Muslim]. ...
Alhidaaya - May 24 2012 - 11:45pm
-
Anajua Kuwa Ribaa Ni Haraam Lakini Anaweka Makusudi Pesa Banki Ili Aipate Hiyo Ribaa Kisha Aitolee Sadaka
Maswali: Riba-Rushwa SWALI: asalam alaykum ... suala langu kwa mujibu wa majibu mbalimbali yanayohusiana na riba hususan jibu la endapo utakua kuna riba imeingia katika akaunti yako uitolee kama sadakaa kwa wanawositahiki jee ...
senior.editor.tamimi - Feb 5 2014 - 7:45pm
-
Kazi Katika Uislam
... wa Ta'aalaa) Anatoa onyo kali kwa mwenye kuchukua na kutoa riba na Ametangaza vita dhidi yao. Allaah (Subhaanahu ... wa aalihi wa sallam) amesema: “ Dirhamu moja ya riba ambayo mtu ataitumia kwa kujua ni mbaya zaidi kuliko kufanya zinaa mara 36 ...
Alhidaaya - Feb 25 2026 - 7:54pm
-
024 - An-Nuwr
... nafsi Aliyoiharamisha Allaah isipokuwa kwa haki, kula riba, kula mali ya yatima, kukimbia wakati wa kupambana na adui na kuwatuhumu ...
Alhidaaya - Feb 25 2026 - 7:55pm
-
004 - An-Nisaa
... ﴿١٦١﴾ 161. Na kuchukua kwao riba na hali wamekatazwa kuichukua, na kula kwao mali za watu kwa ubatwilifu. ... nafsi Aliyoiharamisha Allaah isipokuwa kwa haki, kula riba, kula mali ya yatima, kukimbia wakati wa kupambana na adui, na kuwatuhumu ...
Alhidaaya - Feb 21 2026 - 9:58am
-
002 - Al-Baqarah
... ﴿٢٧٥﴾ 275. Wale wanaokula riba hawatosimama (Siku ya Qiyaamah) ila kama anavyosimama aliyezugwa na ... Hivyo kwa sababu wao wamesema: Hakika biashara ni kama riba. Na Allaah Amehalalisha biashara na Ameharamisha riba. Na atakayefikiwa na mawaidha kutoka kwa Rabb wake akakoma, basi yake ni ...
Alhidaaya - Jan 22 2026 - 7:48pm
-
003 - Aal-'Imraan
... ﴿١٣٠﴾ 130. Enyi walioamini! Msile riba mkizidisha maradufu juu ya maradufu. Na mcheni Allaah mpate kufaulu. ... [47] Haramisho La Riba Na Matahadharisho : Rejea Al-Baqarah: (2:275–279). ...
Alhidaaya - Jan 28 2026 - 10:39pm
