Tafuta
Search results
-
Kupokea Child Benefit Inafaa Na Ikiwa Analipa Tax Ya Serikali?
Maswali: Riba-Rushwa SWALI: ... Swali langu ni hili je kupokea `child benefit` ni RIBA? au ni HARAM? Je kama utatumia kulipa `Council tax au nyumba?Tafadhali ... `CILDBENEFIT`pesa hatukuzifanyia kazi, je itakua ni RIBA? Na kama ni RIBA, je tukizitumia kwa kulipa nyumba au maji itafaa? ...
Alhidaaya - Apr 19 2013 - 10:11am
-
Maduka Kutoa Mkopo Na Kupanga Muda Wa Kulipa Kwa Kiwango Fulani Ziada Je Ni Ribaa?
Maswali: Riba-Rushwa SWALI: Asalam alaykum ... Lakini wanaweka pesa kida ziada na ukiwauliza kama hi ni riba wanasema sio riba ni pesa ya ushuru wa kulipia karasi ya kalipia deni, kwa hiyo wanatoza ...
senior.editor.tamimi - Jan 7 2021 - 10:53am
-
Nikilipa Deni La Benki Kabla Ya Muda Uliowekwa Itakuwa Bado Nimeingia Kwenye Ribaa?
Maswali: Riba-Rushwa SWALI: Aslam ... naomba kuuliza kuna baadhi ya mabenki yana kopesha bila riba, lakini wanaweka hela kidago ziada na ukiwauliza je hii siyo riba wanasema sio riba bali ni pesa ya ushuru na wanakupangi miezi ya kulipa ...
senior.editor.tamimi - May 22 2014 - 5:54pm
-
Bibilia Imetaja Kuhusu Ribaa?
Maswali: Riba-Rushwa SWALI: Assalaamu alaykum ... munipatie aya ndani ya Bibilia zinazozungumzia mikopo na riba, kama inawezekana Inshaallah. Jazaakallahul khair ... wangu walio maskini, usiwe kwake kama mdai, wala usimtoze riba. Ukilichukua vazi la mwenzako kuliweka rehani, lazima umrudishie kabla ya ...
senior.editor.tamimi - Jan 7 2021 - 10:41am
-
Kutumia Credit Card
... ni hukmu ya Credit Card kama huta lipa riba yaani ukilipa deni kabla muda ulopewa haujamalizika ... mkataba kuwa ikiwa atachelewa kulipa deni alipe kwa faida (riba). Na Muislamu hatakiwi kuingia katika mkataba wa jambo la haraam . ...
Alhidaaya - Jan 6 2021 - 9:07am
-
Benki Inatoa Zawadi Kutokana Na Kiwango Cha Pesa Uloweka Badala Ya Fedha, Je, Ni Ribaa Pia?
Maswali: Riba-Rushwa SWALI: Asalaam ... imeanzisha kuweka akiba kwa muda maalum na badala ya kupewa riba unapewa zawadi kama Tv au gari inategemea kiwango cha fedha uliyoweka. ... Hizi zawadi utapewa lakini hutopewa ziada yoyote ya fedha (riba). Jee, hii zawadi inakubalika kupokea kwa mujibu wa sheria na ...
senior.editor.tamimi - Oct 30 2014 - 10:38am
-
Biashara Zipi Muislamu Anatakiwa Afanye
... “ Hayo ni kwa kuwa wamesema: Biashara ni kama riba. Lakini Allaah Ameihalalisha biashara na Ameiharimisha riba ” (al-Baqarah 2: 275). Mfano wa biashara ambazo ni halali ni ...
senior.editor.tamimi - Apr 16 2015 - 5:16pm
-
Kumsaidia Mwenye Kudhulumu Watu
... 'alayhi wa aalihi wa sallam) anatupatia mfano wa Riba ambayo ni dhulma anayefanyiwa yule anayekopa, hivyo mwenye kusaidia kwa ... yoyote anapata madhambi: “Amelaaniwa anayechukua riba, mwenye kulipa, shahidi na mwenye kuandika” (Abu Dawuud kutoka kwa ...
Alhidaaya - Jan 5 2021 - 7:27pm
-
Zingatio: Yatosha
... Tunashuhudia miziki, wizi, utapeli, picha zisizofaa, riba, pombe, uongo na usengenyaji ndani ya mizunguko ya shughuli zetu hizi. ... katika masuala ya haramu. Akiba zetu ni zenye thamani ya riba, malipo tunayopatiwa ndio yenye kutokana na makusanyo ya pombe, rushwa ni ...
baawazir - Jul 22 2021 - 8:35pm
-
Bima Ya Maisha (Life Insurance) Inaruhusiwa Katika Uislamu?
Maswali: Riba-Rushwa SW ALI : Assalaam alaikum ... kuwa bima ya maisha ni haramu. Hoja yao ni kuwa kuna riba ndani yake, kamari, gharar (kuuzwa bidhaa isiyojulikana) na ... unaruhusiwa kwa masharti mawili: kuwe hakuna kipengele cha riba na kinachowekewa bima ni halali. Ama kuhusu gharar anasema kuwa kima ...
senior.editor.tamimi - Sep 1 2011 - 11:22pm
