Tafuta

Search results

  1. 001-Talbiys Ibliys - Ufunikaji (Uhadaifu) Wa Ibilisi: Upambaji Wa Ibilisi - Wasiwasi Katika Swalah: Wudhuu

    ... kitabu chake kiitwacho ‘Talbiys Ibliys’ (Upambaji wa Ibilisi), mwanachuoni maarufu Shaykhul Islaam Ibn Taymiyah anasema: ... nuru inayomuongoza mja kuijua njia sahihi ya kumuabudu Mola wake bila kupunguza wala kuvuka mipaka. Na Allaah Amekwishatuelimisha kupitia ...

    baawazir - Dec 12 2018 - 11:42pm

  2. 05-Mapenzi Ya Ahlus-Sunnah Juu Ya Ahlul-Bayt: Mapenzi Yetu Kwa Ahlul-Bayt

    ... Ahlul Bayt     1-    Watu wa Ukoo   Ahlus Sunnah wanawapenda na kuwaheshimu watu wa ... Faatwimah na wanawe Al-Hasan na Al-Husayn na watu wa ukoo wake tuliotangulia kuwataja kuwa ni katika Ahlul Bayt wakiwemo ‘Aliy ...

    baawazir - Dec 26 2018 - 6:44am

  3. 02-Swahiyh Al-Bukhaariy: Kitabu Cha Iymaan - كِتابُ الإيمان

    ...   (1) Kumwamini Allaah (2) Malaika Wake (3) Vitabu Vyake, (4) Rusuli Wake (5) Siku Ya Mwisho (6) Kuamini Al-Qadar ...   Na Mu’aadh alimwambia Aswad bin Hilaal (mmoja wa Swahibu zake): “Hebu tukae kwa muda ili turudishe iymaan japo kwa saa.” ...

    Alhidaaya - Jan 30 2023 - 4:59pm

  4. 'Aaishah (رضي الله عنها): Ndoa Changa Ya Mama Wa Waumini -2

    ...     Ndoa Za Mtume (Swalla Allaahu ‘Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam) Kwa Ulinganifu   Kuyaweka yote haya kwenye ... (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alioa mke wake wa pili Sawdah bint Zam’ah. Ilikuwa baada ya ndoa hii ya pili ambapo ...

    baawazir - Jan 2 2021 - 9:16pm

  5. Kuishi Nchi Za Kikafiri: Hukmu Yake

    ...  KATIKA MIJI YA KIKAFIRI NDIO WAPIGANIAJI WA UISLAM  SIULIZII IDADA YA WATU ILA NAULIZIA UWEZEKANO (WAMEJENGA ... wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake ... Mjalada wa 4: Allaah Aliyetukuka Anamuaru Mtume Wake (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) apigane Jihadi dhidi ya ...

    Alhidaaya - Jan 7 2021 - 11:07am

  6. Nimeachika Mume Hamhudumii Mtoto Wake Ananiachia Mimi Akidai Kuwa Nnafanya Kazi. Je Yeye Hana Wajib Kumwangalia?

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... Shukrani kwa swali lako kuhusu baba kutomwangalia mtoto wake na hukmu yake katika Dini yetu. Hakika hakuna adhabu maalumu ...

    senior.editor.tamimi - Jul 23 2010 - 2:45am

  7. Jimai: Ameota Yuko Na Mke Wake Akatokwa Na Madhii Katika Ramadhwaan Nini Hukmu Yake?

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... kiume) aliajiriwa na bwana huyu kisha akafanya zinaa na mke wake. Nimemlipa fidia kwa ajili ya mwanangu kwa kumpa kondoo mia moja na mtumwa ...

    Alhidaaya - Jan 25 2021 - 1:04pm

  8. Kuvaa Kanzu Ni Sunnah? Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) Alikuwa Akivaa Mavazi Gani?

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... wa sallam). Kwa kuwa alivaa na hakukanya wafuasi wake kuvaa ikaingia hiyo katika Sunnah zake. Kwani ni wazi kuwa Mtume (Swalla ...

    senior.editor.tamimi - Jan 7 2021 - 11:36am

  9. Ametubia Baada Ya Kuzini Na Mwanamke Je Kumsaidia Na Mzazi Wake Atakuwa Anaharibu Toba Yake?

    ... hili lifuatalo  Imetokea mtu alikuwa na uhusiano wa kimapenzi (kuzini) na mwanamke ambaye sio muislam.  Mwanamme akaamua kuishi ... zimepita, mwanamme amesikia hali ya yule mwanamke na mzee wake sio nzuri kiuchumi (umaskini). Katika hali, je mwanamme atapata dhambi au ...

    senior.editor.tamimi - Jan 6 2021 - 9:41am

  10. Ameacha Wake Wawili Watoto Watano Wakiume, Mke Aliyemtaliki Ana Watoto Watatu

    ... SWALI:   Baba yetu amefariki karibu mwezi wa pili sasa na mirathi imepangwa kuzungumzwa baada ya kuisha eda za wake zake wawili. Ameacha watoto watano wakiume (watu wazima wenye familia zao) ...

    senior.editor.tamimi - Jan 5 2021 - 8:10pm

Pages