Tafuta

Search results

  1. Nani Waliomilikiwa Mikono Ya Kuume? Lawama Zipi? Sababu Ya Kuteremka Aayah Yake

    ... ALLAH (swt) awajaze kheri wote wanaoshughulika na Mtandao wa AL~HIDAAYA. ALLAH (SWT) katika Quran 23:6 anasema "Isipokuwa kwa wake zao au kwa (Wanawake) wale waliyowamiliki kwa mikono yao ya kuume ...

    senior.editor.tamimi - Feb 2 2009 - 1:16pm

  2. Mume Anawasiliana Na Wanawake Kwa Maandishi Ya Mapenzi Kwa Njia Ya Simu Ya Mkononi – Nikimkataza Ananiambia Niende Kwetu

    ... cha sharia, na pia humwambia kua ni haram kuwa na rafiki wa kike hasa ikiwa yupo kwenye ndoa, lakini huona mimi ni mpuuzi na huona mimi ... kati ya sababu nne: Mali yake; nasaba yake; uzuri wake na Dini yake. Chagua mwenye Dini uokoke ' (al-Bukhaariy na Muslim). ...

    senior.editor.tamimi - Apr 25 2008 - 2:00am

  3. Mwanamke Mwenye Hedhi Afanye Nini Masiku Ya Mwisho Kupata Laylatul-Qadr?

    ... Nilikuwa nawaza mwanamke mwenye hedhi afanye nini usiku wa Laylatul-Qadr ili aweze kupata thawabu zaidi kwa kujishughulisha na ... صلى الله عليه وآله وسلم hujiepusha na wake zake, na hukesha usiku na kuwaamsha 'aila (familia) yake))   ...

    Alhidaaya - Apr 30 2021 - 7:39pm

  4. Hufunga Na Kuacha Kuswali Makusudi Ila Ramadhaan

    ... NIMETATIZWA SANA NA FAT'WA YA KWAMBA KILA IBADA INA NGUZO YAKE. NAONA KAMA NI KUCHEZA SHERE. ALLAH SI ... na kasoro basi Allah atauliza kama mja wake ameswali Swalah za Sunnah. Na amali nyengine zitahesabiwa namna hiyo ...

    Alhidaaya - Jun 14 2013 - 10:09am

  5. Kusaidiana Katika Kufanya Kazi Pamoja

    ...   Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola  wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... kwa kila upande ikiwa ni uhusiano baina ya mja na Mola wake, au baina ya mja na familia yake, au baina ya mja na wenzake. Na umekuja ...

    Alhidaaya - Apr 19 2013 - 10:21am

  6. Kualika Watu Kusoma Qur-aan Kuomba Haja

    ... mengi mmetufunza ya haki tumeelimika na kutoka ujingani wa kufuata tu mambo yasiyo katika dini. Allaah (Subhaanahu wa ... Kumswalia Swalaah ya jeneza anapoaga kwa mujibu wa maneno ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam):   " ... ilhali kaacha deni la funga basi alipiwe na walii wake."  [Al-Bukhaariy na Muslim]. Walii ni mtu wa karibu wa aliyekufa, kwa ...

    Alhidaaya - Nov 18 2021 - 10:48am

  7. Mume Anashindwa Kurudisha Amana Ya Mke Aliyeachana Naye – Aombe Du’aa Gani Kuhusu Dhulma Aliyomfanyia?

    ... huyo mume anapewa amana hiyo amuekee huyo mkewe kwa muda wa miaka, mpaka zikatimia maelfu kadhaa. Kisha mke na mume wakaachana baada ya ... watu ili wamtetee adai haki zake alizo muamini kumpa mtalaka wake amuekee. Lakini Mume mwenyewe hajakataa kama ana deni or ana haki za ...

    senior.editor.tamimi - Jul 9 2009 - 4:15pm

  8. Tashahhud: Wakati Unaotakiwa Kuanza Kutikisa Kidole Katika Tashahhud

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... alipokuwa akikaa kwenye tashahhud alitandaza mkono wake wa kushoto juu ya goti lake la kushoto, akikunja vidole vyake vya mkono wa ...

    Alhidaaya - Jan 25 2021 - 10:07am

  9. 03-Abu Bakr Asw-Swiddiyq (Radhwiya Allaahu 'anhu): Ikiwa Yeye Amesema Hivyo Basi Mimi Namsadiki

    ... Mara baada ya kuwasili Makkah, wafanya biashara na wanunuzi wa kawaida wakawa wanausogelea msafara huo kwa ajili ya kununua bidhaa zitokazo ... kuwa anapata habari za mbinguni. Alipounyanyua uso wake akamuona Abu Jahl (Amr ibn Hisham) akimsogelea na kumvamia kwa masuali: ...

    Alhidaaya - Aug 6 2018 - 2:47am

  10. 08-Adabu Za Ndoa Katika Sunnah Iliyotakasika: Kuharamishwa Liwati

    ... Madiynah kwa Ma-Answaar waliwaoa wanawake wao. Wanawake wa Muhaajiriyn walikuwa wakilala kifudifudi (wakati wa kujimai na waume zao) na ... alimuulizia kisha Aayah ikateremshwa inayosema: (( Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo)) ...

    Alhidaaya - Aug 25 2018 - 5:35am

Pages