Tafuta
Search results
-
Amepata Hedhi Baada ya Tendo La Ndoa Kabla ya kuoga Janaba
... Natanguliza shukrani kwa Mola Muumba wa Ulimwengu, Mwingi wa Rehma na Mwenye kurehemu. Sala na Salamu zimfikie Mtume ... wowote inaweza tokea. Na mwnamke huyo akakutana na mume wake pindi anamaliza kitendo cha ndoa na kabla hajaoga janaba ana pata hedi. ...
Alhidaaya - Aug 24 2018 - 9:17am
-
Anaweza Kutoa Mimba Msichana Aliyebakwa?
... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... kwa hiari yake bali ametendeshwa nguvu. Na Allah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) wanatueleza kuwa mwenye ...
Alhidaaya - Jun 16 2008 - 5:25pm
-
Kuzuia Mtu Kuoa Mke Mwenye Sifa Za Kiislamu
... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... wanafanya dhulma iliyokatazwa na Allaah Aliyetukuka na Mtume Wake (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam). Na bila shaka dhulma ni ...
senior.editor.tamimi - Dec 16 2010 - 6:26pm
-
Kujishika Sehemu Za Siri Baada Ya Kutia Wudhuu Katika Ghuslu (Josho)
... josho lako? Je inabidi utie tena udhuu au unatosha ule ule wa mwanzo? Na je nikitia udhuu mwishoni baada ya kufanya ghuslu haifai maana ... Josho la janaba lina mfumo wake ambao tumefundishwa na Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi ...
Alhidaaya - Aug 24 2018 - 8:48am
-
Mali Ya Urithi Iliyokuzwa Na Ndugu Mmoja Inakuwa Haki
... yetu sote na kama ni sote fungu lake na ndugu zake wengine wa kiume litakuwa sawa na vipi mirathi yatatekelezwa baada ya kujibu nawaomba ... Na mmoja wao alikuwa na mfanyikazi ambaye hakuchukua ujira wake wa siku. Huyu mwajiri akatumia ujira huo kwa kuufanyia biashara mpaka ...
senior.editor.tamimi - Nov 22 2016 - 10:28pm
-
Nataka Kuolewa Na Kijana Nimpendaye Lakini Wazazi Hawatakubali Kwa Ajili ya Ukabila Na Rangi.
... A. Aleykum ! Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21 na hapa karibuni nimepata mchumba anataka kunioa lakini kuna tatizo ... wazazi watakataa posa ya kijana huyo hata kabla ya wazazi wake kuja kuposa. Inatakiwa dada yetu hata kabla ya kuwa na rai hiyo umwambie ...
senior.editor.tamimi - Jun 19 2008 - 3:01pm
-
Inapasa Kutoa Zakaah Katika Mshahara Na Kodi Ya Nyumba?
... Assallam Allaykum, Huu ni mwisho wa mwaka wa kiislam, tunatakiwa kupiga mahesabu ili kutoa zakah. Nauliza ... tuliyopatiwa na Allah (Subhaanahu wa Ta'ala ) na Mtume Wake. Tunataka h apa kukumbusha kuwa kutoa Zakah si lazima iwe ...
Alhidaaya - Jan 6 2021 - 4:21am
-
Nani Aliyesulubiwa Badala ya Nabiy 'Iysaa (عَلَيْهِ السَّلام)?
... AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa) Rabb wa walimwengu, Swalaah na Salaam zimshukie Nabiy Muhammad ... ambaye alisulubiwa ni Juda Iskariot ambaye alikuwa ni mfuasi wake lakini akamsaliti kwa maaskari wa Kirumi. Hata hivyo, Allaah (Subhaanahu ...
senior.editor.tamimi - Oct 17 2021 - 2:02pm
-
Mume Hajulikani Kama Kazama Baharini Au Yuhai, Je Mke Akae Eda?
... TUSUBIRI KWA MUDA GANI ILI TUMUWEKE KIZUKA MKE WAKE? NA PIA TUDHIHIRISHE MSIBA? ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ...
senior.editor.tamimi - Dec 6 2010 - 4:54pm
-
Mume Amenitoa Katika Nyumba Sababu Kukataa Kulea Mtoto Aliyezaa Nje, Hanihudumi Lolote - Nikidai Talaka Je, Nitamdhulumu Mtoto?
... mimi ni mwanamke niliyeolewa na kuishi na mume wangu kwa mda wa miezi mitatu unusu, kwa mda huo mume wangu kanitoa nyumbani sababu nilikataa kuishi na mtoto wake wa haramu ambaye hakuniambia wakati anaponioa. Nilipotoka nilikuwa ni mja ...
senior.editor.tamimi - Apr 23 2009 - 11:21am