Tafuta
Search results
-
Mke Anaiba Pesa Zangu, Anashawishiwa Na Baba Yake Ujeuri, Je Nina Haki Kumzuia Asiende Kwa Baba Yake?
... alikimbilia polisi. Sasa hivi Baba mkwe ameweka utaratibu wa kufanya mkutano na wanae wote wengi ambao wengine wameolewa miongoni mwao ... Na mume anatakiwa aishi na mke wake kwa wema, kwani ni wema ambao unambadilisha mtu muovu kuwa mzuri. Kwa ...
senior.editor.tamimi - Dec 9 2017 - 2:22am
-
02-Kukata Undugu: Madh-har Ya Kukata Undugu
... kunaonekana kwa njia nyingi watu wengine hawawajui ndugu zao wa karibu kwa kuwaunga kwa mali au vyeo au tabia inapita miezi na huenda miaka ... wakimkata huu si uungaji bali ni kulipa mema kwa mfano wake na hili linatokea kwa ndugu wa karibu na wengineo kulipa mema sio kwa ...
baawazir - Aug 25 2018 - 5:12am
-
Amewaandikia Nyumba Watoto Wa Mke Wa Mwisho, Watoto Wa Mke Wa Mwanzo, Wanadai Mirathi Baada Ya Miaka 12
... SWALI: A'aleykum. Mzee alikua na wake watatu. Mzee aliwaandikia nyumba watoto wa mke mwisho kwa sababu hawa watoto walikua wadogo na yeye mzee sana. Huu ...
senior.editor.tamimi - Nov 22 2016 - 10:54pm
-
Kusema كَرَّم اللَّه وَجْهَه Unapomtaja 'Aliy Inajuzu Au Lilo Sahihi Ni Kusema رضي الله عنه?
... Ali radhiyallahu anhu ni bid-a akisema kua halikua wakati wa mtume alayhi swalatu wassalam wala katika wakati wa makhalifa wane. Jee, ... hivyo, wanasema kuwa anastahiki sifa hiyo kwa kuwa uso wake haukusujudia sanamu basi wapo pia Swahaba (Radhwiya Allaahu ‘anhum) ...
senior.editor.tamimi - Oct 27 2021 - 5:14pm
-
Uzazi Wa Kupanga Unafaa?
... Jee Sheikh kuna njia yoyote ya uzazi wa mpangilio ya kiislam na kama ipo ni njia gani? ... kisheria kama shida ya mama katika kuzaa na mfano wake. Njia ambayo inayokubalika ni ile ya kutumia azl ( coitus ...
Alhidaaya - Jan 24 2021 - 5:12pm
-
Amesilimu Kwa Sababu Ya Kutaka Kuoa lakini anakiri kuwa yeye ni Mkristo, Je, Ndoa Inaswihi?
... yeye yupo ndani ya ukristu.. sasa akapeleka ujumbe wa kutaka kumuoa ktk familia ya yule binti..yule bwana akajibiwa ya kwamba ... linakuwa ni jambo sahali kwani akifa atazikwa na watu wake Kikristu. Tusiwe wepesi kuwaoza watu kama ...
Alhidaaya - Feb 13 2014 - 8:03pm
-
Talaka Hii Sijafahamu Kama Ni Moja Au Ni Tatu
... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... talaka uliyopatiwa ni moja, hivyo unafaa ukae eda mpaka muda wake umalizike. Ikiwa atakurudia kabla ya eda kumalizika itakuwa ni kheri ...
senior.editor.tamimi - May 8 2008 - 3:30pm
-
Kiza Kinaingia Mapema Mno Msimu Wa Baridi Aswali Vipi Magharibi Na Ishaa
... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... Swalah zote zimewekewa wakati maalumu na Allaah na Mtume Wake (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam). Hivyo inatakiwa popote ulipo ...
Alhidaaya - Jan 7 2021 - 1:29pm
-
Safari: Kustarehe Kwa Wanandoa Mwezi Wa Ramadhwaan Wakiwa Safarini
... ASALAMU ALAYKUM KAMA MTU ANASAFIRI KATIKA MWEZI WA RAMADHAN ANASAFIRI NA MKEWE NA SHARI’AH IMEWARUHUSU KUACHA SWAUMU JEE ... “ Mmehalalishiwa usiku wa Swawm kuingiliana na wake zenu. Wao ni vazi kwenu, na nyinyi ni vazi kwao ” (al-Baqarah [2]: ...
senior.editor.tamimi - Jan 7 2021 - 6:44am
-
Nigawe Kwa Nani Urithi Wa Mama Mkristo
... Naweza kuzigawa kwa watu kama mke mwenzangu, au watoto wake, ambao hawana uhusiano naye wa damu? Naelewa sipati thawabu. Lakini ni watu gani wengine ambao naweza ...
Alhidaaya - Jan 5 2021 - 7:45pm