Imaam Ibn Taymiyyah: Miongoni Mwa Watu Bid’ah Ni Kutokuwafuata Maswahaba Na Kufuata Njia Nyenginezo

 

Miongoni Mwa Watu Bid’ah Ni Kutokufuata Mwendo Wa Maswahaba

Na Kufuata Njia Nyenginezo  

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah) amesema:

 

“Anayedhania kuwa anafuata Kitabu na Sunnah bila ya kuwafuata Maswahaba akafuata njia nyenginezo, basi huyo ni miongoni mwa watu wa bid’ah.”

 

[Mukhtaswar Al-Fataawaa Al-Miswriyyah 557]

 

 

Share