Mashairi: Mazeyuni

 

 

                      ‘Abdallah Bin Eifan

                  (Jeddah, Saudi Arabia)

 

 

Kwa jina lake Rahimu, nawapa zangu salaamu,

Nina maneno muhimu, napenda muyafahamu,

Amkeni Waislamu, hali imekuwa ngumu,

MAZEYUNI madhalimu, nia yao kuhukumu.

 

Kuhukumu Arabuni, ni nia ya Mazeyuni,

kujieneza nchini, mpaka kule Lebanoni,

Waitawale Jordani, na Syria wapo Golani,

Nia yao MAZEYUNI, kutanda kila makani.

 

Kupanua wanataka, ya Israeli mipaka,

Kila ardhi kuishika, lengo limeeleweka,

Nyuma yake Amerika, humpa anachotaka,

Wanazidi kupanuka, MAZEYUNI kwa hakika.

 

Huvunja yao ahadi, pale wanapoahidi,

Hawa ndio Mayahudi, wasifika kwa inadi,

Ona tena watarudi, kupiga kwa makusudi,

MAZEYUNI mahasidi, uchokozi watazidi.

 

Kuwapiga tunaweza, haitaki kunyamaza,

Madhambi kuyapunguza, na dini kuieneza,

Tupate kutekeleza, dini ya Mungu Muweza,

Kawaleta Mwingereza, MAZEYUNI kawajaza.

 

Msikiti wa Al-Aqsa, wameukamia sasa,

Wameanza kuugusa, kuuvunja kisiasa,

Wapate kuutikisa, na kuuvunja kabisa,

Watazidi kunyayasa, MAZEYUNI ni najasa.

 

Tupo katika hatari, ndugu tujitahadhari,

Tuwe macho na tayari, adui hakusafiri,

Tunamuomba Qahari, Atuepeshe na shari,

MAZEYUNI makafiri, wajitapa kwa kiburi.

 

Umoja sasa lazima, tusibakie kusema,

Bila hivyo tutakwama, mwisho tutabaki nyuma,

Adui hana huruma, wala hajali lawama,

MAZEYUNI ni wanyama, ni adui wa daima.

 

Dawa yao ni jihadi, kwa Jina Lake Wadudi,

Radhi Zake tufaidi, ibada itapozidi,

Tuzidi kujitahidi, kupunguza ufisadi,

MAZEYUNI wakaidi, kuwapiga itabidi.

 

Beti kumi inatosha, ukweli nimeonyesha,

Ni lazima kumnyosha, adui kumsafisha,

Tupate kumdondosha, asirejee maisha,

Jihadi inawatisha, MAZEYUNI kukomesha.

 

 

 

 

Share