Salsa Ya Nyanya Pilipili Tamu Na Uwatu

 

Salsa Ya Nyanya Pilipili Tamu Na Uwatu

 

Vipimo   

 

Pilipili kubwa tamu (capsicum)

Nyanya 2

Thomu (saumu/garlic) chembe 3

Pilipili mbichi 2

Uwatu (methi/fenugreek) 1 kijiko cha chai

Siki au ndimu vijiko vya kulia

Chumvi kiasi

 

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

  1. Katakata vitu katika mashine ya kusagia (blender) usage vizuri.
  2. Mimina katika bakuli utolee la pakoras (bajia) au vitafunio vinginevyo

 Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)  

 

 

Share