Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Maulidi: Siku Ya Kuzaliwa Nabiy ﷺ Haijulikani

 

 

 

 

Siku Ya Kuzaliwa Nabiy Swalla Allaahu ‘Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam Haijulikani

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah).

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amejibu katika fatwa aliyoulizwa kuhusu mazazi ya Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akasema:

 

Kwa kuanzia, siku haswa ya kuzaliwa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) haijulikani kwa uhakika. Isipokuwa, wachunguzi wa sasa wamethibitisha kwamba alikufa tarehe 9 ya Rabiy'ul Awwal na sio tarehe 12 (kama inavyoaminika sana), na hivyo hakuna msingi wa historia kwa kunasibisha tarehe 12 na sherehe.  [Majmuw’ Fataawaa, Muhammad bin Swaalih Al-'Uthaymiyn Juz. 2 uk .297-300]

 

 

 

 

 

Share