Imaam Ibn Taymiyyah: Rajab: Kuadhimisha Mwezi Wa Rajab Kufanya Musimu Wa Swawm Ni Bid’ah

 

Kuadhimisha Mwezi Wa Rajab Na Kuufanya Ni Musimu Wa Swawm Ni Bid’ah

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Shaykhul-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah) amesema:

 

“Kuadhimisha mwezi wa Rajab ni katika mambo ya uzushi ambayo yanapaswa kujiepusha nayo. Na pia kuufanya mwezi wa Rajab kuwa ni musimu wa Swawm ni makruwh kama alivyosema Imaam Ibn Ahmad (Rahimahu-Allaah) na wengineo.”  [Iqtidhwaa Asw-Swiraatw Al-Mustaqiym (2/624-625)]

 

 

Share