Imaam Ibn Taymiyyah: Rajab Na Sha'baan: Hakuna Dalili Kuhusisha Kwa Swawm Na I’tikaaf

 

 

Kuhusisha Rajab Na Sha’baan Kwa Swawm Na I’tikaaf Hakuna Dalili

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

Amesema Shaykhul-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah):  “Ama kuhusisha Rajab na Sha’baan kwa Swawm au I’tikaaf haikuthibiti chochote kutoka kwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)  wala kutoka kwa Swahaba zake wala kutoka kwa ‘Ulamaa wa Kiislamu bali imethibiti katika Asw-Swahiyh kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akifunga (mwezi wa) Sha’baan na hakuwa akifunga Sunnah zaidi kama alivyokuwa akifunga katika Sha’baan kwa ajili ya (kukaribia) mwezi wa Ramadhwaan.” [Al-Fataawaa Al-Kubraa (4/462)]

 

 

 

 

 

 

 

Share