Tafuta
Search results
-
Nyumba Ya Shangazi Aliyepotea Inatumiwa Na Baba Ameikodisha Pesa Wanagawana, Inafaa?
... baba nyumba yake wakati anasafiri na mumewe na watoto wake wakiume wanne zaidi ya miaka 40 liyopita. Tunavofaham alimwachia baba hiyo ... inabidi tufanye nini kuhusu hiyo nyumba? Je, vizazi wengine wa ndugu wa baba yetu wanayo haki katika nyumba hiyo japokua baba yetu alikufa ...
senior.editor.tamimi - Mar 24 2011 - 6:05pm
-
Mama Ameolewa Na Mume Mwengine Baada Kutengana Na Baba Kisha Baba Karudi Kudai Ni Mkewe
... Nzuri Kwa Hakika Ujira Wenu Mtaukuta Kwa Lilahi Mwingi Wa Rehema. Mimi Ni Bint Niliyezaliwa Miaka 25 Iliyopita, Ktk Kukuwa ... Safari Mimi Na Yeye, Akanipeleka Kwake, Nikakuta Ana Wake Wawili Na Watoto. Nikakaa Kipindi Cha Wiki Tatu Huku Nikifanya Uchunguzi. ...
senior.editor.tamimi - Jan 25 2021 - 8:55am
-
Nini Kifanyike Iwapo Mume Anaamua Kuongeza Mke Wa Pili na Mke Wa Kwanza Haridhii?
... kuelimishana na ndugu yangu ambaye amekutwa na mtihani wa mumewe kuoa mke wa pili bila kumjulisha na baadae kujua jambo hilo takribani ... kumuomba azidi uvumilivu kwani Allaah Aliyetukuka na Mtume Wake (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) wanatuarifu kuwa hakuna ...
Alhidaaya - Oct 25 2018 - 8:58pm
-
Sina Raha Na Maisha Ya Ndoa Mume Hana Hamu Na Mimi Wala Hanishughulikii
... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... itabidi uitishe mkutano baina yako, yeye, wazazi wako na wake. Katika kikao hicho inabidi pia uwe wazi kuhusu matatizo yako ...
senior.editor.tamimi - Jun 26 2008 - 2:19pm
-
Anataka Kuongeza Mke Mwengine Ingawa Mkewe Hana Matatizo Naye
... SWALI: ASAALAAM ALEYKOOM WA BAAD. MASHEIKH WANGU WAPENDWA SUALA LANGU NI KAMA IFUATAVYO: ... kwa wanawake kwani hakuna hata mmoja ambaye anakubali mume wake amuolee mke wa pili. Japokuwa wakati mwengine huwa ni wenye kuwaambia ...
Alhidaaya - Apr 23 2007 - 2:14am
-
Kila Zikija Posa Baba Anazitia Ila Hata Haniulizi Mwenyewe Nami Nataka Kuolewa Nifanyeje?
... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... ni makengeza lakini mzazi hutizama maslahi ya msichana wake ili asiingie katika shida wala matatizo. ...
senior.editor.tamimi - Mar 25 2010 - 11:35pm
-
Nimeoa Mwezi Wa Pili Lakini Mke Hataki Kuingia Katika Kitendo Cha Ndoa
... vyema sheria za KIISLAM. Huu ni mwezi wa pili sasa tangu nioe, lakini sijaweza kufanya tendo la ndoa na mke wangu, ... ya harusi, hivyo anaogopa aibu na hataki kuwavunja wazazi wake. 6. Huenda akawa ametahiriwa kabisa, ...
senior.editor.tamimi - Jul 31 2008 - 1:16pm
-
Kuswali Swalah Ya Safari Kwa Sababu Ya Udereva
... Mimi nafanya kazi ya udereva hapa ulaya wa kuendesha basi la abiria wa town bus (DALADALA). Swala langu ni kwamba ... wewe fursa ya kuweza kutekeleza jukumu la Swalah kwa wakati wake. Inabidi uwaelezee waajiri umuhimu huo ili waweze kuelewa. Ikiwa wameelewa ...
senior.editor.tamimi - Mar 21 2013 - 2:01am
-
Mume Yuko Masomoni Mke Anamhudumia Pamoja Na Watoto, Mume Anataka Azae Na Mke Hataki Kwa kukhofia Gharama
... SWALI: Asalam Alaykum wa baady, Naomba kuchukua nafasi huu kumshkuru Allah Karim kwa kuniwezesha afya ... kwani Allaah Aliyetukuka ndiye mwenye kuwaruzuku waja Wake. Shauri lililo bora ni kuweza kumuelewesha kwa njia ...
senior.editor.tamimi - Nov 25 2010 - 7:43pm
-
Tanzania Bara Na Matumizi Ya Shariy'ah Za Kiislamu
... Sifa zote njema ni zake Allaah (Subhanahu wa Taala), Muumbaji wa vilivyo dhahir na vilivyofichikana, Bwana wa Ulimwengu. ... (negative status) kwa kueleza kuwa Serikali haina mkono wake katika shughuli za dini. Wajibu wa Serikali ni kuitetea haki hii ...
Alhidaaya - Mar 18 2017 - 5:29am