Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Hukmu Ya Khatwiyb Kukamata Au Kuegemea Fimbo Kwenye Khutbah Ya Ijumaa

 Hukmu Ya Khatwiyb Kukamata Au Kuegemea Fimbo Kwenye Khutbah Ya Ijumaa

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema: 

 

"Akihitaji kufanya hivyo kutokana na kuwa yeye ni dhaifu (anahitaji kitu cha kuegemea) basi ni Sunnah kwa sababu kusimama ni Sunnah kwani kinachosaidia Sunnah basi ni Sunnah. Ama ikiwa hakuna haja ya kukamata fimbo basi hakuna haja ya kukamata."

 

 

[Majmuw’ Fataawa wa Rasaail, Al-Mujallad 16, Baabu Swalaatil-Jumu’ah]

 

 

Share