Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Ramadhwaan: Kutumia Manukato Mazuri Siku Za Ramadhwaan

 

 

 

Kutumia Manukato Mazuri Siku Za Ramadhwaan

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

SWALI:

 

Nini hukumu ya mtu aliyefunga na kutumia mafuta mazuri siku za Ramadhaan?

 

JIBU:

 

Hakuna ubaya kutumia na kunusa mafuta mazuri  siku za Ramadhwaan isipokuwa kufukiza udi usikaribie hadi ukavuta pumzi za moshi na ukaingia tumboni.

 

[Imaam Muhammad bin Swaalih al-`Uthaymiyn Fiqhul-‘Ibaadaat Uk (217) Maktabatul-Iymaan]

 

Share