Imaam Ibn Taymiyyah: Kutawassal Kuwaomba Waliokwishafariki Hakuna Dalili

Kutawassal Kuwaomba Waliokwishafariki Hakuna Dalili

 

Imaam  Ibn Taymiyyah  (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Na wanayoyafanya katika kuomba viumbe kama vile Malaika au Manabii na waja wema waliofariki, na mfano wa du’aa zao kwa Maryam na wengineo na kuwaomba shafaa'ah (uombezi) waliofariki kwa Allaah, hakutumwa Nabiy yeyote kuleta hilo (kufundisha hilo)." 

 

 

[Al-Jawaab Asw-Swahiyh (5/187)]

 

 

Share