Imaam Al-Albaaniy: Dalili Elfu Hazimtoshi Mtu Wa Matamanio na Bid'ah

 

Dalili Elfu Hazimtoshi Mtu Wa Matamanio na Bid'ah

 

Imaam Al-Albaniy (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Mtu anayeitafuta Haki, basi dalili moja (kutoka katika Qur-aan au Sunnah) inamtosha. Wakati mtu mwenye kuyaendekeza matamanio (Hawaa) basi hata dalili elfu moja hazitomtosheleza (kumkinaisha na kuzifuata). Mjinga hufunzwa, na mwenye Matamanio ya nafsi hatuna njia juu yake.”

 

 

[Al-Haaiyyah ya Abiy Daawuwd]

 

 

Share