Mafunzo Ya Minasaba

Mafunzo Ya Minasaba

Mafunzo Ya Minasaba

 

Tunawakumbusha Kutamka Maneno Bora Kabisa Siku Ya ‘Arafah

Pamoja Na Kumdhukuru Allaah Kwa Wingi, Na Kuomba Du'aa,

Kuomba Maghfirah Na Kumuomba Allaah Akuache Huru Kutokana Na Moto!

 

 Alhidaaya.com

 

Kwanza: Inapoingia Alfajiri ya Siku ya ‘Arafah, inapasa kutamka kwa wingi maneno yafuatayo ambayo ni maneno bora kabisa aliyoyatamka Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) pamoja na Manabii kabla yake kama alivyosema Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam):

 

((خَيْرُ الدُّعَاءِ دُعَاءُ يَوْمِ عَرَفَةَ، وخَيْرُ مَا قُلْتُ أنَا وَالنَّبيُّونَ مِنْ قَبْـلِي: لَا إِلَهَ إِلاَّ اللهُ وَحْدَهُ لا شَرِيْكَ لَهُ، لَهُ الـمُلْكُ، ولَهُ الـحَمْدُ، وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيءٍ قَدِير)) روى الترمذي

“Du’aa bora kabisa ni du’aa katika siku ya 'Arafah, na (maneno) yaliyo bora kabisa niliyosema mimi na Manabii kabla yangu ni:

لَا إِلَهَ إِلاَّ اللهُ وَحْدَهُ لا شَرِيْكَ لَهُ، لَهُ الـمُلْكُ، ولَهُ الـحَمْدُ، وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيءٍ قَدِير

Laa Ilaaha illa Allaah Wahdahu laa shariyka Lahu, Lahul-Mulku Walahul-Hamdu wa Huwa 'alaa kulli shay-in Qadiyr. 

 

Hapana mwabudiwa wa haki  ila Allaah, Pekee, Hana mshirika, Ufalme ni Wake, na Himdi zote ni Zake Naye juu ya kila kitu ni Muweza.  [At-Tirmidhiy]

 

Pili: Siku ya ‘Arafah ni Siku ambayo Allaah ('Azza wa Jalla) Huteremka duniani kwa uteremko unaolingana na Utukufu Wake na kuwaacha huru kwa wingi waja Wake kutokana na Moto kwa dalili:

 

 عنْ عَائِشَةَ أنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ: "‏مَا مِنْ يَوْمٍ أَكْثَرَ مِنْ أَنْ يُعْتِقَ اللَّهُ فِيهِ عَبْدًا مِنَ النَّارِ مِنْ يَوْمِ عَرَفَةَ وَإِنَّهُ لَيَدْنُو ثُمَّ يُبَاهِي بِهِمُ الْمَلاَئِكَةَ فَيَقُولُ مَا أَرَادَ هَؤُلاَءِ"‏‏.‏

Kutoka kwa ‘Aaishah (Radhwiya Allaahu ‘anhaa) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Hakuna siku ambayo Allaah Anayoacha kwa wingi huru waja kutokana na Moto kama siku ya ‘Arafah.  Na huwa karibu kisha Anajigamba kwao kwa Malaika na Husema: Wametaka nini hawa? [Muslim]

Na katika Riwaayah nyingine:

اشْهَدُوا مَلاَئِكَتِي أَنِّي قَدْ غَفَرْتُ لَهُمْ. صحيح الترغيب

((“Shuhudieni Malaika wangu kwamba hakika Mimi Nimewaghufuria”)) [Swahiyh At-Targhiyb (1154)]

 

Tatu: Bakia katika 'ibaadah baada ya Swalaah ya Adhuhuri na khasa usikose baada ya Alasiri mpaka iingie Magharibi, kwa Haaj aliyejaaliwa kusimama ‘Arafah na kwa asiyejaaliwa kwenda Hajj. Lisikushughulishe jambo lolote jengine ila umdhukuru Allaah ('Azza wa Jalla) khasa kwa maneno hayo ya:

 

لَا إِلَهَ إِلاَّ اللهُ وَحْدَهُ لا شَرِيْكَ لَهُ، لَهُ الـمُلْكُ، ولَهُ الـحَمْدُ، وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيءٍ قَدِير

na kumuomba maghfirah kwa wingi, kuomba du’aa na kuomba Allaah ('Azza wa Jalla) Akuache huru kutokana na Moto pamoja na wazazi wako na ahli zako, vizazi vyako, jamaa zako, nduguzo katika Iymaan na Akutaqabalie haja zako. Wakati huo ni muhimu kabisa katika Siku hiyo tukufu ya ‘Arafah kutokana na Hadiyth ifuatayo:

      

عن عبدالله بن عمرو إنَّ اللهَ عزَ وجلَّ يباهي ملائكتَهُ عشيةَ عرفةَ بأهلِ عرفةَ فيقولُ : انظروا إلى عبادي أتوني شُعثا غُبرا

((Hakika Allaah (‘Azza wa Jalla) Huwafakharisha watu ‘Arafah kwa Malaika Wake kuanzia mchana mpaka jioni ya ‘Arafah na Husema: “Watazameni waja Wangu wamenijia wakiwa timtimu wamejaa vumbi.”)) [Musnad Ahmad (12/42) na ameisahihisha Imaam Al-Albaaniy katika Swahiyh At-Targhiyb (1153), Swahiyh Al-Jaami’ (1868), Taz pia As-Silsilah Asw-Swahiyhah (1503)

 

Bonyeza hapa upate Takbira:

 

 

 

Mafunzo Ya Minasaba

 

Ukumbusho Wa Kuzuia Kukata Kucha Na Nywele Kwa Anayenuia Kuchinja

 

Alhidaaya.com

 

 

Tunapenda kuwakumbusha ndugu zetu wengi jambo ambalo wanaghafilika nalo, kuwa, wenye kunuia kuchinja au kuchinjiwa (anayewakilisha mtu kumchinjia), kuanzia unapoandama tu mwezi wa Dhul-Hijjah wanatakiwa wajizuie kukata nywele za mwili na kukata kucha mpaka watakapomaliza kuchinja. Haya ni maamrisho yanayopatikana katika Hadiyth ifuatayo:  

 

عن أم سلمة رضي الله عنها أن النبي صلى الله عليه وسلم قال: ((إِذَا رَأَيْتُمْ هِلَالَ ذِي الْحِجَّةِ وَأَرَادَ أَحَدُكُمْ أَنْ يُضَحِّيَ ، فَلْيُمْسِكْ عَنْ شَعْرِهِ وَأَظْفَارِهِ )) وفي رواية: ((فَلا يَمَسَّ مِنْ شَعَرِهِ وَبَشَرِهِ شَيْئًا))

Ummu Salamah (Radhwiya Allaahu 'anhaa) amehadithia kwamba Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Ukiandama mwezi wa Dhul-Hijjah na ikiwa yuko anayetaka kuchinja basi azuie (asikate) nywele zake na kucha zake)) na katika riwaaya nyengine ya Muslim (1977); ((basi asitoe kitu katika nywele zake wala ngozi yake)) [Muslim]

 

Faida na mafunzo ziyada yafuatayo:

 

Kuchinja - Fadhila, Hikmah Na Hukmu Zake

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Anayetia Niyyah Kuchinja Asikate Au Kunyoa Nywele Au Kukata Kucha

 

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Nani Wa Kujizuia Kukata Nywele Na Kucha Katika Kuchinja (Udhwhiyah)?

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Udhwhiyah (Kuchinja) Ni Sunnah Iliyosisitizwa Kwa Mwenye Uwezo

 

 

Imaam Ibn Baaz - Vipi Kuigawa Nyama Ya Udhw-hiyah

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Kuigawa Nyama Ya Udhw-hiyah Kama Zawadi Au Swadaqah Iwe Freshi Si Ya Kupikwa

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Masharti Ya Udhwhiyah Ni Yepi?

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Haijuzu Kumpa Mchinjaji Wa Udhw-hiyah Nyama Kama Ujira Wake

 

 

 

Imaam Ibn Baaz - Hukmu Ya Kuchinja Kwa Kutumia Mkono Wa Kushoto

 

 

Kuzuia Kukata Nywele Na Kukata Kucha Ni Kwa Familia Nzima Au Kwa Mtu Mmoja Anayechinja Au Kugharamia Uchinjaji?

 

 

 

 

 

 

 

Mafunzo Ya Minasaba

 

 

Siku Kumi Bora Kabisa Za Allaah:  1 - 10 Dhul-Hijjah

 

Alhidaaya.com

 

Inatupasa tumshukuru Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) kwa neema Aliyotujaalia ya kutuwekea miezi mitukufu, au siku tukufu au nyakati tukufu ambazo ‘amali njema huwa na thawabu nyingi mno. Na hivi tunakaribia kabisa kuingia katika mwezi mwingine mtukufu wa Dhul-Hijjah. Katika mwezi huu, siku kumi za mwanzo ni siku bora kabisa mbele ya Allaah ambazo 'amali yoyote inayotendwa humo ni yenye kupendwa mno na Allaah:     

        

عن ابن عباس رضي الله عنهما، أن النبي صلى الله عليه وسلم قال: ((مَا مِنْ أَيَّامٍ الْعَمَلُ الصَّالِحُ فِيهَا أَحَبُّ إِلَى اللَّهِ مِنْ هَذِهِ الْأَيَّامِ)) يَعْنِي أَيَّامَ الْعَشْرِ قَاُوا:  يَا رَسُولَ اللَّهِ وَلَا الْجِهَادُ فِي سَبِيلِ اللَّهِ؟  قَالَ: ((وَلَا الْجِهَادُ فِي سَبِيلِ اللَّهِ إِلَّا رَجُلٌ خَرَجَ بِنَفْسِهِ وَمَالِهِ فَلَمْ يَرْجِعْ مِنْ ذَلِكَ بِشَيْ)) البخاري

Ibn 'Abbaas (Radhwiya Allaahu 'anhumaa) ameahadithia kwamba Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Hakuna siku ambazo ‘amali njema zinazotendwa humo, zinapendwa mno na Allaah kama (‘amali zinazotendwa katika) siku kumi hizi.” Yaani: Siku kumi za mwanzo wa mwezi wa Dhul-Hijjah. Wakauliza: Ee Rasuli wa Allaah! Je, hata kuliko kupigana jihaad katika njia ya Allaah? Akajibu: “Hata Jihaad katika njia ya Allaah isipokuwa mtu aliyetoka (kwenda kupigana jihaad) mwenyewe na mali yake kisha kisirudi chochote katika hivyo.” [Al-Bukhaariy]

 

Ee ndugu Muislamu! Usiache fursa hii kukupita kujichumia thawabu tele kutokana na uzito wa malipo katika masiku haya. Hivyo basi tunawanasihi kusoma yafuatayo kuhusu fadhila za masiku haya kumi ya Dhul-Hijjah pamoja na amali za kutenda katika masiku haya matukufu kabisa mbele ya Allaah ('Azza wa Jalla):

 

Bonyeza Endelea...

 

 

Mafunzo Ya Minasaba

 

Ukumbusho Wa Takbiyr Katika Masiku Kumi Na Tatu Ya Dhul-Hijjah:

Tarehe 1 – 13 Dhul-Hijjah

 

Alhidaaya.com

 

 

Ndugu Waumini! Tukumbushane kuifufua Sunnah ya kuleta Takbiyr kuanzia unapoandama mwezi wa Dhul-Hijjah mpaka mwisho wa Ayyaamut-Tashriyq (Yaani kuanzia tarehe 1 Dhul-Hijjah mpaka 13 Dhul-Hijjah) baada ya Swalaatul-'Asr ndio kumalizika kwake kutokana na dalili zifuatazo:

 

Allaah ('Azza wa Jalla) Anaamrisha:

 

لِّيَشْهَدُوا مَنَافِعَ لَهُمْ وَيَذْكُرُوا اسْمَ اللَّـهِ فِي أَيَّامٍ مَّعْلُومَاتٍ عَلَىٰ مَا رَزَقَهُم مِّن بَهِيمَةِ الْأَنْعَامِ ۖ

((Ili washuhudie manufaa yao; na walitaje Jina la Allaah katika siku maalumu kwa yale Aliyowaruzuku kati ya wanyama wenye miguu minne wa mifugo.    [Al-Hajj  28]

 

Na pia:

 

كَانَ إبْن عَمَر وَأبُو هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللَّه عَنْهُما يَخْرُجَانِ إِلَى السُّوقِ فِي أَيَّامِ العَشْرِ يُكَبِّرَانِ، وَيُكَبِّرُ النَّاسُ بِتَكْبِيرِهِمَا .

Ibn 'Umar na Abuu Hurayrah (Radhwiya Allaahu 'anhumaa) walikuwa wakienda sokoni katika siku kumi (za Dhul-Hijjah) na kutamka Takbiyr kwa sauti na watu wakiwaigiza. [Al-Bukhaariy]

 

Na Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

وَاذْكُرُوا اللَّـهَ فِي أَيَّامٍ مَّعْدُودَاتٍ ۚ

Na mdhukuruni Allaah katika siku za kuhesabika.  [Al-Baqarah: 203]

 

Ibn 'Abbaas (Radhwiya Allaahu 'anhumaa) amesema: Siku za kuhesabika ni siku za tashriyq (11, 12, 13 Dhul-Hijjah) na siku maalumu ni siku za kumi za mwanzo za Dhul-Hijjah[Al-Qurtwubiy: 3.3]

 

Takbiyr katika masiku haya matukufu ni aina mbili:[1]

 

Takbiyr Al-Mutwlaq: Za Nyakati Zote:

 

Takbiyr wakati wote mchana na usiku, mahali popote ulipo, tokea unapoingia mwezi wa Dhul-Hijjah na inaendelea mpaka siku ya mwisho ya Tashriyq (tarehe 13 Dhul-Hijjah) na kumalizika baada ya kuingia Magharibi.

 

Takbiyr Al-Muqayyad: Za Kuthibitika Mahali Maalumu Na Nyakati Maalumu, Za Kukadirika:

 

Takbiyr baada ya kila Swalaah za fardhi na huanza baada ya Swalaah ya Alfajiri Siku ya 'Arafah mpaka mpaka baada ya Swalaah ya Alasiri siku ya mwisho ya Tashriyq (tarehe 13 Dhul-Hijjah).

 

Inavyopasa kufanya Takbiyr:

 

   اللَّهُ أَكْبَرُ، اللَّهُ أَكْبَرُ،  لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ، اللَّهُ أَكْبَرُ، اللَّهُ أَكْبَرُ، وَلِلَّهِ الْحَمْد

Allaahu Akbar, Allaahu Akbar, laa Ilaaha illa Allaah, Allaahu Akbar Allaahu Akbar WaliLLaahil-Hamd

 

Bonyeza bango upate takbiyrah kwa sauti:

 

 

 

[1] Takbiyr hizo za masiku haya matukufu zimetekelezwa na baadhi ya Maswahaba watukufu na ni Mustahabb (imependekezwa) na wengi katika Salaf wa madhehebu ya Hanbaliy, Ash-Shaafi’iyy, Hanafiy na wengineo kama ifuatavyo:  

Imaam An-Nawawiy - Al-Majmuw’ (5/32).

Ibn Rajab - Fat-hul-Baariy (6/125, 130).

Ibn Taymiyyah - Majmuw’ Al-Fataawaa (24/220. 222).

Imaam Ibn Baaz - Fataawaa Nuwr ‘Alad-Darb (13/355).

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn - Ash-Sharh Al-Mumti’ (5/166), Majmuw’ Fataawaa wa Rasaail Al-‘Uthyamiyn (16/262, 265).

 

Mafunzo Ya Minasaba

 

12-Dhul-Hijjah

Mafunzo Mbalimbali Ya Hajj

Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri: Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

 

Alhidaaya.com

 

 

 

 

 

 

 

Ukumbusho Wa Mas-ala Ya Hajj

 

 

Ukumbusho Wa Kuzuia Kukata Kucha Na Nywele Kwa Anayenuia Kuchinja

 

 

 

Ukumbusho Wa Takbiyr Katika Masiku Kumi Na Tatu Ya Dhul-Hijjah: Tarehe 1–13 Dhul-Hijjah

 

 

Tunawakumbusha Kutamka Maneno Bora Kabisa Siku Ya ‘Arafah, Kuomba Maghfirah Na Kuepushwa Na Moto!

 

 

Nasaha Na Ukumbusho Wa Swawm Ya ‘Arafah Ili Ufutiwe Madhambi Ya Miaka Miwili!

 

 

 

Katazo La Swiyaam (Funga) Ayyaamut-Tashriyq: 11, 12, 13 Dhul-Hijjah Na Amali Za Kutenda

 

 

 

Nasiha

 

 

Umuhimu Wa Kukimbilia Kutekeleza Nguzo Ya Hajj  

 

 

Siku Kumi Bora Kabisa Za Allaah - 01 - 10 Dhul-Hijjah

 

 

Fadhila Za Siku Ya 'Arafah Na Yawmun-Nahr (Siku Ya Kuchinja) – Hajj

 

 

Kuchinja - Fadhila, Hikmah Na Hukmu Zake

 

Amali Za Kutenda Ayyaamut-Tashriyq: Tarehe 11, 12, 13 Dhul-Hijjah Na Katazo La Swiyaam

 

 

Mdhukuru Allaah Kwa Wingi Na Omba Maghfirah Baada Ya Kutenda Mema Katika Siku Kumi Bora Kabisa Za Allaah

 

 

Ratiba Ya ‘Ibaadah Za Kutekeleza Siku Tukufu Ya ‘Arafah

 

 

Vitabu:

 

 

 

 

 

http://www.alhidaaya.com/sw/swahiy_fiqh_as_sunnah

 

 

Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Mlango Wa Hajj Na 'Umrah

 

 

 

 

 

 

Fataawaa Za 'Ulamaa:

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Anayetia Niyyah Kuchinja Asikate Au Kunyoa Nywele Au Kukata Kucha

 

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Nani Wa Kujizuia Kukata Nywele Na Kucha Katika Kuchinja (Udhwhiyah)?

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Udhwhiyah (Kuchinja) Ni Sunnah Iliyosisitizwa Kwa Mwenye Uwezo

 

 

Imaam Ibn Baaz - Vipi Kuigawa Nyama Ya Udhw-hiyah

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Kuigawa Nyama Ya Udhw-hiyah Kama Zawadi Au Swadaqah Iwe Freshi Si Ya Kupikwa

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Masharti Ya Udhwhiyah Ni Yepi?

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Haijuzu Kumpa Mchinjaji Wa Udhw-hiyah Nyama Kama Ujira Wake

 

 

 

Imaam Ibn Baaz - Hukmu Ya Kuchinja Kwa Kutumia Mkono Wa Kushoto

 

 

 

Al-Lajnah Ad-Daa'imah: Hukmu Ya Kumuita Mtu Aliyetoka Kuhiji Jina La “Haji”

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Kujiita Au Kuitwa “Haji Fulani”

 

 

 

Kauli Za Salaf:

 

 

Imaam Ibn Hajar: Sababu Za Utukufu Wa Masiku Kumi Ya Dhul-Hijjah

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Chukua Fursa Kutenda Mema Masiku Kumi Dhul-Hijjah

 

 

 

Makala:

 

 

 

 

Mashairi:

 

 

Tufanye Mema Kwa Wingi, Siku Kumi Dhul-Hijjah

 

Hija Yao Taqabali, Tunakuomba Jalali

 

Twamshukuru Manani, Wamehiji Kwa Salama

 

 

 

Zingatio:

 

Zingatio: Rabb Awatakabalie Hijjah Zao Pamoja Na Sisi Kughufuriwa Madhambi Yetu

 

Zingatio: Hijjah Wajibu Wetu

 

Zingatio: Siku Kumi Tukufu Za Dhul-Hijjah

 

 

 

Maswali Na Majibu:

 

 

 

 

Uzushi Wa Unoadaiwa Ni Fadhila Za Siku Kumi Za Dhul-Hijjah

 

 

Kuzuia Kukata Nywele Na Kukata Kucha Ni Kwa Familia Nzima Au Kwa Mtu Mmoja Anayechinja Au Kugharamia Uchinjaji?

 

 

Fadhila Za Siku Ya ‘Arafah, Sababu Zake Na Tofauti Ya Nyakati Baina Ya Nchi

 

 

Dhul-Hijjah: Haifai Kufunga (Swawm) Ayyamut-Tashriyq (Masiku ya 11-13 Dhul-Hijjah)

 

 

Dhul-Hijjah: Inafaa Kufunga (Swawm) Siku Zote 9 Za Dhul-Hijjah?

 

 

Dhul-Hijjah: Inafaa Kulipa Deni La Ramadhwaan Pamoja Na Niyyah Ya Swawm Za Naawafil Kama Dhul-Hijjah?

 

 

Dhul-Hijjah: Kauli Za 'Ulamaa Kuhusu Hadiyth Za Mama Wa Waumini Za Swiyaam Siku 9 Dhul-Hijjah

 

 

Dhul-Hijjah: Nini Sababu Ya Swawm Ya 'Arafah?

 

 

Dhul-Hijjah: Swawm Ya 'Arafah Ipi Sahihi Kuwafuata Hujaji Au Kufuata Nchi Uliyoko?

 

 

Hukmu Ya Swawm Ijumaa Ikiwa Ni Siku Ya 'Arafah Au 'Aashuraa

 

 

 

 

 

 

 

Mafunzo Ya Minasaba

 

11-Dhul-Qa'dah

Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri: Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

 

 

 

'Amali Za Kutenda Na Mambo Ya Kujiepusha Nayo Katika Miezi Mitukufu

 

'Amali Za Kutenda Na Mambo Ya Kujiepusha Nayo Katika Miezi Mitukufu

 

Alhidaaya.com

 

Ni fursa nyingine ya Waumini kutilia juhudi kubwa ya kutenda mema, ili kujichumia thawabu tele katika Miezi Mitukufu. Utukufu wa miezi hiyo imetajwa katika Qur-aan na Sunnah: Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

 

 إِنَّ عِدَّةَ الشُّهُورِ عِندَ اللَّـهِ اثْنَا عَشَرَ شَهْرًا فِي كِتَابِ اللَّـهِ يَوْمَ خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ مِنْهَا أَرْبَعَةٌ حُرُمٌ ۚ ذَٰلِكَ الدِّينُ الْقَيِّمُ ۚ فَلَا تَظْلِمُوا فِيهِنَّ أَنفُسَكُمْ ۚ وَقَاتِلُوا الْمُشْرِكِينَ كَافَّةً كَمَا يُقَاتِلُونَكُمْ كَافَّةً ۚ وَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّـهَ مَعَ الْمُتَّقِينَ﴿٣٦﴾

Hakika idadi ya miezi mbele ya Allaah ni kumi na mbili katika hukmu ya makadirio ya Allaah, (tangu) siku Aliyoumba mbingu na ardhi. Kati ya hiyo, (iko miezi) minne mitukufu. Hivyo ndiyo Dini iliyo nyoofu. Basi msijidhulumu humo nafsi zenu (kwa kufanya maasi), na piganeni vita na washirikina wote kama wao wanavyokupigeni vita nyote. Na jueni kwamba Allaah Yu Pamoja na wenye taqwa. [At-Tawbah: 36]

 

Na miezi hiyo minne mitukufu imetajwa katika Hadiyth ifuatayo:

 

Endelea....

 

Umuhimu Wa Kukimbilia Kutekeleza Nguzo Ya Hajj

 

 

 

Sababu Za Kuwa Na Miezi Mitukufu -- Maswali: Taqwa - Tazkiyyah

 

Tofauti Ya Miezi Ya Kiislamu (Hijriyyah) Na Ya Miladi Zipi Sifa Zake?

 

 

Mafunzo Ya Minasaba

 

 

Mambo Matatu Yanayofuatia Ramadhwaan:

 

Zakaatul-Fitwr, 'Iydul-Fitwr Na Swawm Ya Sittatush Shawwaal

 

 

 

 

Zakaatul-Fitwr:

 

 

 

 

 

 

Zakaatul-Fitwr: Hikmah Na Hukmu Zake

 

Al-Lajnah Ad-Daa'imah: Haijuzu Kuichelewesha Zakaatul-Fitwr

 

 

Maswali Kuhusu Zakaatul Fitwr:

 

 

Kutoa Zakaatul-Fitwr Wiki Moja Kabla Ya 'Iyd -- Maswali: Zakaah

 

 

Anajitegemea Mwenyewe, Anachangia Katika Futari; Je, Anawajibika Kutoa Zakaatul-Fitwr? -- Maswali: Zakaah

 

 

Kutoa Zakaatul-Fitwr Kwa Kiwango Zaidi Ya Anachostahiki Maskini Na Kutoa Siku Kumi Kabla Ya Ramadhwaan Kumalizika -- Maswali: Zakaah

 

 

Zakaatul-Fitwr Inafaa Kwa Ajili Ya Kusaidia Matibatu Ya Yatima? -- Maswali: Zakaah

 

 

Anapata Misaada Ya Kulea Yatima, je Atoe Zakaatul-Fitwr? -- Maswali: Zakaah

 

 

Kiwango Cha Zakaatul-Fitwr Ni Chakula Cha Masikini Mmoja Si Siku 30 -- Maswali: Zakaah

 

 

Kiwango Gani Cha Kutoa Zakaatul-Fitwr? Nani Nipasaye Kumlipia? -- Maswali: Zakaah

 

 

Maisha Yetu Ni Duni Je, Inatupasa Kutoa Zakaatul-Fitwr? -- Maswali: Zakaah 

 

 

Mke Yuko Mbali Na Mume, Zakaatul Fitwr Yake Itolewe Wapi? -- Maswali: Zakaah

 

Anafanya Kazi; Je, Alipe Mwenyewe Zakaatul-Fitwr Au Wazazi Wake Wamlipie?

 

Mwanafunzi Nchi Za Nje Atoe Zakaatul-Fitwr Au Wazazi Wake Wamtolee?

 

 

Iyd:

 

 

 

'Iyd Al-Fitwr: Yaliyo Sunnah Kutekelezwa

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Swalaah Ya ‘Iyd Inavyoswaliwa

 

 

Maswali Ya 'Iyd

 

 

 

 

Kuna Du’aa Ya Kunuia Kwa Ajili Ya ‘Iyd -- Maswali: Hukmu Za Swawm

 

 

Tofauti Ya Takbiyrah Za Iydul-Fitwr Na Iydul-Adhwhaa -- Maswali: Swalah Ya Jamaa

 

 

Je, Inanyanyuliwa Mikono Katika Kila Takbiyrah Ya Ziada Kwenye Swalaah Ya 'Iyd? -- Maswali: Swalah Ya Jamaa

 

 

Inapoangukia Ijumaa, Nini Hukmu Ya Swalaah Ya Ijumaa?

 

 

 

Sitta Shawwaal:

 

 

 

 

Sita Za Shawwaal Na Swawm Nyinginezo Baada Ya Ramadhaan  

 

 

Imaam Ibn Baaz - Swiyaam Za Sitta Shawwaal Zifungwe Kwa Kufululiza Au Bila Kufufuliza?

 

 

Maswali Ya Sitta Shawwaal

 

 

Kulipa Deni Kwanza Au Kufunga Sita Shawwaal -- Maswali: Swawm Za Sunnah

 

 

Ufafanuzi Wa Thawabu Za Sita Kama Kufunga Mwaka Mzima -- Maswali: Swawm Za Sunnah

 

 

Kufunga Ijumaa Na Jumamosi Katika Sita Ya Shawwaal Yafaa -- Maswali: Swawm Za Sunnah

 

 

Anaweza Kufunga Swawm Za Sunnah Katika Mwezi Wa Shawwaal? -- Maswali: Swawm Za Sunnah

 

 

Hukumu Ya Kufunga Siku Ya Jumamosi Pekee Na Inapoangukiwa Siku Ya 'Arafah Au 'Ashuraa

 

 

Ufafanuzi Wa Thawabu Za Sita Kama Kufunga Mwaka Mzima 

 

 

Kulipa Deni La Ramadhaan Na Sita Shawwaal

 

 

Inafaa Kufunga Swawm Za Naafil (Sunnah) Kabla Ya Kulipa Deni La Ramadhaan?

 

 

Kufunga Ijumaa Na Jumamosi Katika Sita Ya Shawwaal Yafaa

 

 

Baada Ya Ramadhwaan:

 

Shaykh Fawzaan - Alama Za Kukubaliwa (Matendo) Katika Ramadhwaan

 

Nini Baada Ya Ramadhwaan?

 

Kubakia Imara (Thabiti) Baada ya Ramadhaan  

 

 

Zingatio Na Mashairi:

Zingatio: Zifunge Swiyaam Za Sitta Shawwaal

 

07-Mashairi: Kufunga Sita Ni bora, Kutimiza Msafara

 

 

 

Maswali Kuhusu Hilaal (Mwandamo Wa Mwezi)

 

Mwandamo Wa Mwezi – Waislamu Wote Duniani Wafunge Siku Moja Na Kula ‘Iyd Siku Moja ?

 

Mwandamo Wa Mwezi Upi Sahihi Wa Kitaifa Au Kimataifa?

 

Utata wa Kufunga Swawm na Kufungua Kutokana Na Kutofautiana Kuhusu Mwandamo Wa Mwezi

 

Mwandamo Wa Mwezi; Kila Mji Ufuate Mwezi Unapoonekena Kwao Au Mwandamo Wa Kimataifa?

 

Kuonekana Kwa Mwezi Mwandamo Sehemu Tofauti Na Kuanza Funga

 

Kufuata Mwezi Wa Kitaifa Au Wa Kimataifa; Kupishana Masaa; Wazee Zamani Walikuwa Wanapataje Habari Kuhusu Mwezi Wa Kimataifa

 

Mwezi Ulionekana Siku Moja Nchi Nyingine Mapema Zaidi Yetu Je, Tulipe Siku Hiyo?

 

Ni Sawa Kumfuata Mume Kwa Msimamo Wa Mwezi Wa Kitaifa Japokuwa Alikuwa Akifuata Unapoonekana Popote Duniani?

 

Tunaambiwa Wanaofuata Mwezi Wa Kimataifa Wamekosea Na Walipe Swawm Je, Ni Sawa?

 

 

Mafunzo Ya Minasaba

 

03-Rabiy'ul Awwal

 

Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri: Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

 

 

Nasiha

 

 

 

Sababu 35 Muislam Asisherehekee Maulidi

 

 

 

Sababu 35 Muislam Asisherehekee Maulidi

 

 

Sababu Ya Kwanza:

 

Kumpenda Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

 

Kwa sababu ya kumpenda Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) ni kumfuata Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam). Naye (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) tokea kuzaliwa kwake hadi kufariki kwake hakusherehekea siku yake ya kuzaliwa wala Maswahaba zake hawakumsherehekea. Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

 

  قُلْ إِن كُنتُمْ تُحِبُّونَ اللّهَ فَاتَّبِعُونِي يُحْبِبْكُمُ اللّهُ وَيَغْفِرْ لَكُمْ ذُنُوبَكُمْ وَاللّهُ غَفُورٌ رَّحِيمٌ

Sema (ee Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم): “Mkiwa mnampenda Allaah, basi nifuateni mimi, Atakupendeni Allaah na Atakughufurieni dhambi zenu. Na Allaah ni Mwingi wa kughufuria, Mwenye kurehemu. [Al-'Imraan: 31]

 

Sababu Ya Pili:

 

ENDELEA….

 

 

 

 

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Maulidi: Ingelikuwa Maulidi Ni Thawabu Swahaba Wangekuwa Na Haki Zaidi

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Maulidi: Siku Ya Kuzaliwa Nabiy ﷺ Haijulikani

 

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Maulidi: Hukmu Ya Kusherehekea Maulidi Ya Nabiy

 

 

Imaam Ibn Baaz: Maulidi Ingelikuwa Ni Jambo La Shariy’ah Asingelificha Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Maulidi: Yangelikuwa Maulidi Ni Ukamilifu Wa Dini Yangekuweko Kabla Kufariki Nabiy

 

 

Imaam Ibn Baaz: Salaf Walimpenda Zaidi Nabiy Nao Ni Wajuzi Zaidi Na Hawakusherehekea Maulidi.

 

 

Al-Lajnah Ad-Daa'imah: Hairuhusiwi Kupongezana Kwa Mnasaba Wa Mwaka Mpya Wa Hijri (Kiislamu) Au Maulidi

 

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Kusoma Al-Faatihah Katika ‘Aqdi Za Ndoa Na Katika Misiba Ni Bid’ah

 

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Maulidi: Tarehe Aliyozaliwa Nabiy, Mashindano Ya Qur-aan, Kuchinja, Mihadhara

 

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Kufanya Misimu Ya ‘Ibaadah Bila Ya Kuweko Dalili Ni Bid’ah

 

 

Imaam Ibn Baaz: Maulidi: Hukmu Ya Kuchinja Kwa Ajili Ya Maulidi

 

 
 

Shaykh 'Abdul-Muhsin Al-'Abbaad: Maulidi: Kula Chakula Kinachoandaliwa Kwa Ajili Ya Bid’ah

 

 

Shaykh 'Abdul-Muhsin Al-'Abbaad - Hukmu Ya Kuitikia Mwaliko Wa Mzushi

 

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Maulidi: Kula Nyama Inayochinjwa Kwa Ajili Ya Maulidi Na Vinginevyo

 

 

Shaykh Fawzaan: Maulidi: Chakula Kinachoandaliwa Katika Hafla Ya Maulidi Haikujuzu Kuliwa

 

 

Shaykh Fawzaan: Maulidi: Kuhusisha Siku Ya Maulidi Kwa Kuielezea Siyrah Ya Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

 

 

 

 

 

Imaam Ibn Rajab: Yaliyoanzishwa Bila Kuweko Katika Shariy’ah Ni Bid’ah

 

 

Imaam Sufyaan Ath-Thawriy: Ibliys Anaipenda Bi’dah Zaidi Kuliko Maasi

 

 

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan - Bid'ah Inamweka Mtu Mbali Na Allaah

 

 

Imaam Al-Albaaniy - Ijue Sunnah, Utaijua Bid’ah

 

 

Imaam Ibn Kathiyr: Kama Bid’ah Ni Khayr Wangetutangulia Maswahaba

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Khayr Yote Imo Katika Kufuata Salaf

 

 

Ibn Nuhaas:Kusherehekea Yaliyo Bid’ah Ni Upotezaji Wa Nguvu Na Mali

 

 

Imaam Mujaahid: Kufuata Njia Nyenginezo Zisizokuwa Za Sunnah; Ni Bid’ah

 

 

Imaam Al-Albaaniy: Bali Atakuadhibu Kwa Kwenda Kinyume Na Sunnah

 

 

Imaam Ibn Nuhaas: Kusherehekea Yaliyo Bid’ah Ni Upotezaji Wa Nguvu Na Mali

 

 

http://www.alhidaaya.com/sw/kauli_za_salaf_bidah

 

 

 

 

 

 

http://www.alhidaaya.com/sw/aqiydah_bidah

 

 

Miongoni Mwa 'Ulamaa Waliopinga Maulidi

 

Sababu 35 Muislam Asisherehekee Maulidi PDF

 

Mjadala Baina Ya Salafi Na Sufi Kuhusu Maulidi

 

Mjadala Baina Ya Salafi Na Sufi Kuhusu Maulidi (PDF)

 

Mjadala Baina Imaam Al-Albaaniy Na Msherehekeaji Maulidi

 

Mjadala Baina Imaam Al-Albaaniy Na Msherehekeaji Maulidi (PDF)

 

 

Shaykh Fawzaan: Hukumu Ya Kusherehekea Kuzaliwa Kwa Mtume (Swalla Allaahu ‘Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam)

 

Vizuizi 12 Dhidi Ya Kusherehekea Kuzaliwa Kwa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam)

 

Maulidi – Historia Yake, Hukmu Na Kauli Za Wanachuoni

 

Hoja Dhidi Ya Uzushi Wa Maulidi Na Watetezi Wake

 

Maulidi (Kusherehekea Kuzaliwa Kwa Mtume)

 

Kumpenda Mtume صلى الله عليه وآله وسلم Ni Kumtii Na Kumfuata

 

 

Mashairi Na Zingatio:

 

 

Mashairi: Maulidi Walianzisha Mashia

 

Mashairi: Bid'ah (Uzushi Katika Dini)

 

Mashairi: Khitmah

 

Zingatio: Haipasi Kusherehekea Maulidi

 

 

 

Maulidi: Anataka Tarjama Ya Maulidi Barzanji Ili Ajue Nini Hasa Kimeandikwa Ndani Yake -- Maswali: Bid'ah - Uzushi

 

 

 

Maulidi: Ufafanuzi Wa Maneno Katika Kitabu Cha Ibn Taymiyyah Kuhusu Bid'ah Ya Maulidi -- Maswali: Bid'ah – Uzushi

 

 

 

Maulidi: Ikiwa Maulidi Hayafai Vipi Mashekhe Wengine Wanayakubali? -- Maswali: Bid'ah - Uzushi

 

 

 

Maulidi: Ameweka Nadhiri ya Kusoma Maulidi Kisha Katambua kuwa Ni Bi'dah Afanyeje? -- Maswali: Bid'ah - Uzushi

 

 

 

Maulidi: Sherehe Za Harusi Zina Maasi Uzushi Wa Maulidi Nyimbo Na Kujifakharisha -- Maswali: Bid'ah – Uzushi

 

 

 

Maulidi: Anataka Kujua Kuhusu Maulidi Na Ikiwa Yameanzishwa Na Mashia -- Maswali: Bid'ah – Uzushi

 

 

 

Maulidi: Wazazi Hawataki Kuacha Bid’ah Wananihukumu Siwatii -- Maswali: Bid'ah – Uzushi

 

 

Maulidi: Kusoma Maulidi Katika Sherehe Za Ndoa Inafaa? -- Maswali: Bid'ah – Uzushi

 

 

 

Maulidi: Ufafanuzi Wa Khofu Ya Kupotea Qur-aan, Zafa (Zefe) Za Maulidi Si Kwa Ajili Makafiri Waujue Uislamu? -- Maswali: Bid'ah – Uzushi

 

 

 

Maulidi: Maneno Kwenye Khutbah Hayakuwepo Wakati Wa Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّم) Vipi Maulidi Yawe Bid'ah? -- Maswali: Bid'ah - Uzushi

 

 

 

Maulidi: Anataka Kufahamishwa Usomaji Sahihi Wa Maulidi Au Namna Sahihi Ya Kusherehekea

 

 

 

Maulidi: Anataka Kujua Kuhusu Maulidi Na Ikiwa Yameanzishwa Na Mashia

 

 

 

Maulidi: Ikiwa Qur-aan Imehifadhiwa Vipi Swahaba Walikhofia Kupotea? Maulidi Yana Ubaya Gani?

 

 

 

Maulidi: Kumfanyia Maulidi Mtoto Anapotahiriwa Jando Inajuzu?

 

 

 

Maulidi: Kusoma Maulidi Kwenye Harusi Badala Kupiga Ngoma Inafaa?

 

 

 

Maulidi: Kutumia Aayah Nyingi Kuthibitisha Uzushi Wa Maulidi Japo Hayajatajwa Katika Qur-aan

 

 

 

Maulidi: Mume Anakesha Maulidini Hataki Kupokea Nasaha Za Mke Afanyeje?

 

 

 

Maulidi: Ufafanuzi Wa Khofu Ya Kupotea Qur-aan, Zafa (Zefe) Za Maulidi Si Kwa Ajili Makafiri Waujue Uislamu?

 

 

 

Maulidi: Wanafunzi Wa Madrasa Wanachangishwa Pesa Kwa Ajili Ya Maulidi Mwalimu Hataki Kupokea Nasaha

 

 

 

Maulidi Kusherehekewa Wakati Msichana Anavunja Ungo Na Kwa Biharusi